Uchaguzi 2020 Mbeya: Joseph Mbilinyi(Sugu) akamatwa na Polisi wakati akichukua fomu ya Uteuzi

Uchaguzi 2020 Mbeya: Joseph Mbilinyi(Sugu) akamatwa na Polisi wakati akichukua fomu ya Uteuzi

Hicho kidudumtu chenye sura mbaya roho mbaya ndicho kinachoratibu huu uchafu mbeya..... Si mnajua kimepitisha kwa kejeli kabisa eti viongozi na wasaidizi wa mihimili wanaruhusiwa kuvunja katiba bila kushitakiwa.....
Aaagh mkuu acha kumzushia Banaa,Kweli Mh.RC alisema hayo?!!!!
 
Hizi intimidations sidhani kama zinamsaidia sana bibi Tulia. Sanasana wanazidi kuwajengea wananchi hasira
 
Sheria inasema mikusanyiko inataka kibali cha polisi; ndio maana nikasema ni kucheza kamali nao usipoomba kibali linabaki swala la utashi.
Misafara ya harusi huwa inapewa vibali? Hakukuwa na haja yoyote ya kumkamata kwa nguvu zote zile kwani hakukuwa na fujo yoyote, polisi walitakiwa kuwalinda wananchi na si kama walivyofanya na kumsemea Sugu maneno ya kuudhi. IGP aseme neno hapa.
 
Mk
Mkuu Wangu Mbona Unahamasisha vurugu?!!!

It's true Yule POLISI mmoja amekosea sana,hasa kutoa lugha Yenye kumdhalilisha Yeye Mwenyewe...na pia kumdhalilisha mbunge wake.....

Limeonekana....na nadhani halitapita bila kukosolewa na mamlaka zaidi ya wao....

Amani Kwanza
Tanzania Kwanza.
Mwaka huu mkibeep sie tunapiga. Uonevu sasa baaasi!!!
 
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia Joseph Mbilinyi (SUGU) kwa tuhuma za kuratibu maandamano kinyume cha Sheria, tukio hilo limetokea leo alipokuwa anachukua fomu ya kuwania tiketi ya Ubunge jimbo la Mbeya Mjini kupitia tiketi ya chama chake cha Chadema.

Sugu amekamatwa pamoja na wanachama wa Wengine wa CHADEMA. Baadhi ya Waliokamatwa ni Stive Mwenyekiti wa BAVICHA Mkoa, Katibu wa mbunge, Kasambala.

Hii imetokeaa bila kujulikana sababu, angalia.

Mwenyekiti wa *CHADEMA* wilaya ya Ruangwa ajiuzulu, *asimulia tukio linalodaiwa la utekaji* asema Katibu aliratibu tukio hilo kwa lengo ovu, misimamo yake ndani ya chama yamfanya atake kudhuriwa na genge la Katibu wake.
 
Misafara ya harusi huwa inapewa vibali? Hakukuwa na haja yoyote ya kumkamata kwa nguvu zote zile kwani hakukuwa na fujo yoyote, polisi walitakiwa kuwalinda wananchi na si kama walivyofanya na kumsemea Sugu maneno ya kuudhi. IGP aseme neno hapa.
From reading the law which public assemblies do you think it intended to regulate?

Vitu vingine ni vya kujiongeza wenyewe.
 
Nani kafanya kutoka CCM kipindi hiki cha uchaguzi amekusanya watu (kwanza washatoa hata hiyo list yao ya wagombea ubunge) sio CCM tu chama gani kingine kimefanya mkusanyiko?

Ata mapokezi ya Lipumba yalipata kibali cha polisi.

We ukienda kupokea mgeni huwa unapata kibali kwanza maana kama ni sheria inabidi ifuatwe hasa au unaroka tu hujuwi sheria. Hivi watu wakienda kupokea wachezaji huwa wanakuwa na kibali cha kufanya nini
 
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia Joseph Mbilinyi (SUGU) kwa tuhuma za kuratibu maandamano kinyume cha Sheria, tukio hilo limetokea leo alipokuwa anachukua fomu ya kuwania tiketi ya Ubunge jimbo la Mbeya Mjini kupitia tiketi ya chama chake cha Chadema.

Sugu amekamatwa pamoja na wanachama wa Wengine wa CHADEMA. Baadhi ya Waliokamatwa ni Stive Mwenyekiti wa BAVICHA Mkoa, Katibu wa mbunge, Kasambala.

Hii imetokeaa bila kujulikana sababu, angalia.

Hizo Ni hujuma hujuma hujuma hujuma ndani ya Mbeya kuandaa tension
 
We ukienda kupokea mgeni huwa unapata kibali kwanza maana kama ni sheria inabidi ifuatwe hasa au unaroka tu hujuwi sheria. Hivi watu wakienda kupokea wachezaji huwa wanakuwa na kibali cha kufanya nini
Hapa sasa linahitajika somo la sheria na tafsiri za ”operation of statutory interpretation” it’s a long story na hapa sio shule.

Huo ubishi wenu ndio unawapeleka pabaya mwisho wa siku sheria ipo upande wa polisi.
 
Mwaka huu mkibeep sie tunapiga. Uonevu sasa baaasi!!!
Mkuu Wangu Uko SATURATED na CHUSHO la roho loooh Yaani Umekuwa Kama Al Shabaab mercenary 😁😁

Huko Tusifike bnaa,Mana amani ikitoweka si familia yangu,si ndugu Wa huyo Polisi aliekosea KUTOA LUGHA zisizo staha,si ndugu Wa Chalamila,SI ndugu wa Sugu,si wanaCCM wenzangu,SI wafuasi wa Sugu,soteee hatutobaki SALAMA.......

Tatizo Kuna wanaCCM na wanaCDM walio Mazwazwa wasiojua hzo Mambo,wanaromokwa tu bila ya kuwa na MIZANI YA MAMBO KISIASA......

Amani inashikiliwa na UZI MWEMBAMBA SANA....

Nisamehe Kama nimekukwaza mkuu wangu...
 
Nadhani huyu jamaa aache kutumia jina Sugu maana huwezi kuwa sugu ukaburuzwa kindezi hivo tena na askari mmoja
 
From reading the law which public assemblies do you think it intended to regulate?

Vitu vingine ni vya kujiongeza wenyewe.
Ni sheria za kikoloni tu hizo kwani wenzetu hapo jirani tu hawana sheria za kuomba vibali vya kuandamana. Mkoloni wakati wa harakati za kupigia na uhuru aliweka sheria za watu zaidi ya wawili wakionekana ni unlawfu assembly. Tanzania huru tunakuwa kama South Africa kipindi cha apartheid.

Issue kubwa hapo ni kuwa wangewaacha kulikuwa na tatizo gani as tunaona mikoa mingine wagombea wakisindikizwa na hakuna tatizo. Watanzania bado tunatii sheria hata kama zinatunyima haki yetu ya msingi ya kibinadamu.
 
Imetosha kwa kweli!! Watuue wote. Enough is enough
Wamuue nani? Maisha yetu yanathamani kubwa labda tuwauwe wao.
2001 kule Pemba walitenganishwa vichwa na viwiliwili heshima ikaja na kuzaa ile serikali ya pamoja.
 
Polisi wetu bana. Sasa hapo kuna maandamano gani.

Hivi wanayakumbuka yale ya lowasa kwenye uchukuaji wa fomu.

Polisi walipaswa kuyawekea uangalizi tu kama ilibidi,wamalize wasanuke zao.

Wasituharibie amani ya nchi yetu.
 
Hatishi tu CCM Bali juu zaidi kwa sababu mtia nia ya kugombea Jimbo hilo wa Chama cha CCM ni Mtoto mpendwa wa mpendwa wetu. Vijembe lazima vitakuja ili mgombea ashinde akaendelee na juunga mkono juhudi Bungeni badala ya Ndugai.
Kwani akiteuliwa hawezi kumrithi Ndugai?! Vipi akishindwa, watalazimisha?!
 
From this video you get a different perspective polisi anapoweka mikono yake yote kifuani au kwa nyuma ana ashiria tii kwa amani.

Ukinyanyua yako una ashiria shari kwake na umemruhusu kutumia nguvu. Kwanza unaposhikwa na polisi hakikisha mikono yako anaiona.

Halafu kumbe ukaidi ulianzia getini. Japo lugha ya polisi aikuwa nzuri I think both parties are blameworthy after watching the second video.

..hivi umeona jinsi polisi walivyokuwa na SILAHA NZITO?

..sasa hawa polisi wanalinda usalama, au wanahatarisha usalama?

..mbona maeneo mengi CDM wamechukua fomu bila vurugu zozote zile?

..kwa kweli polisi wanapaswa kujiongeza wakati huu tunapoelekea kwenye uchaguzi.
 
Back
Top Bottom