Uchaguzi 2020 Mbeya: Joseph Mbilinyi(Sugu) akamatwa na Polisi wakati akichukua fomu ya Uteuzi

Uchaguzi 2020 Mbeya: Joseph Mbilinyi(Sugu) akamatwa na Polisi wakati akichukua fomu ya Uteuzi

Angepewa haki ya kugawa pumzi asingebaki mtu duniani
Yani Mungu ni fundi sana........

Maendeleo yana chama lkn udikteta hauna chama wala taasisi wote wanashika njia moja...... Yaulize maccm
 
Public order ya wp!?
ww ni kilatha ama kilaza!!
https://cldup.com/Xg633uzCFd.pdf?do...BU SURA YA 16 KWA KISWAHILI (PENAL CODE).pdf

B6A3E298-C33C-4974-B691-0267829E6F48.jpeg
 
Kama kuja na watu hairuhusiwi .... kwa nini tume ya uchaguzi isitoe utaratibu na kanuni. Kama CCM wanakatazana kusindikizana hiyo haina maana vyama vingine visifanye hivyo. Hiki kinachofanyika sasa siyo kitu kigeni .... Lowasa alisomba watu kibao tena kwenye udhamini wa ndani ya chama.
 
Ukitaka kujua hao jamaa awajui Sheria Bali maagizo waulize Sugu amefanya kosa gani hawajui. Je kiashiria Cha maandamano ni degree ngapi awajui.
 
Huwa nashangaa Sana mpinzani bungeni kutetea maslai ya Askari naona huwa Ni punguani
 
Unajua maana ya notification??? Kwa ukilaza wako notification unaelewa ni Kibali???
Embu kasome kwanza link yote kuanzia article 42-46 unatakiwa utoe notification ndio upewe kibali cha kukusanya watu in public assembly.

Na polisi wana Power za kukupa au kukunyima hivi kubisha mmekuwa programmed ama? Yaani wewe na wenzako wengine wawili ninaowajua kazi yenu kubisha tu.
 
Embu kasome kwanza link yote kuanzia. article 42-46 unatakiwa utoe notification ndio upewe kibali cha kukusanya watu in public spaces.

Na polisi wana Power za kukupa au kukunyima hivi kubisha mmekuwa programmed ama? Wewe na wenzako wengine wawili kazi kubisha tu.
Nijibu swali langu. Unajua maana ya notification???
 
Back
Top Bottom