Ng'wale
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 4,690
- 3,399
Hiyo busara ndiyo niliyokutaka wewe ujiweke kwenye position ya RPC wa Mbeya. Tusubiri siku mh Tulia anachukua form tuone, tutarudi hapa tujadiri namna atakavyokua amechukua form. Watu wamekaa kimya bila siasa miaka 5, leo kweli hiyo ya watu kumsindikiza imekua nongwa!!!!???Kasome ‘police force and auxiliary services act 2002’ mkusanyiko usiokuwa na kibali ni kosa la kisheria.
Nachokubaliana na wewe vitu vingine polisi wanatakiwa kutumia busara.