Uchaguzi 2020 Mbeya: Joseph Mbilinyi(Sugu) akamatwa na Polisi wakati akichukua fomu ya Uteuzi

Uchaguzi 2020 Mbeya: Joseph Mbilinyi(Sugu) akamatwa na Polisi wakati akichukua fomu ya Uteuzi

Tena leo alikuwepo kwenye ibada ya TAG akarudia
Jamaa tapeli huyu..... Anaogopa tu anavomulikwa na mikwara aliyopigwa kutoka nje.....

Moyoni huyu mzee wa kulala kwenye mawe km mjusi ni shetani kabisa
 
Jamaa tapeli huyu..... Anaogopa tu anavomulikwa na mikwara aliyopigwa kutoka nje.....

Moyoni huyu mzee wa kulala kwenye mawe km mjusi ni shetani kabisa
Angepewa haki ya kugawa pumzi asingebaki mtu duniani
 
POLISI WATAKIWA KUSIMAMIA NIDHAMU: Polisi imewataka maafisa wake kusimamia nidhamu na haki wakati wa kusimamia harakati mbalimbali za uchaguzi mkuu wa mwaka huu.

Kauli hiyo imetolewa na Kamishna wa Utawala na Rasilimali Watu, Benedict Wakulyamba wakati akifungua mafunzo ya siku mbili ya maafisa wanadhimu wa polisi na wahasibu wa jeshi hilo kutoka mikoa yote nchini.

Hiyo ndiyo elimu nadharia. Tunayo danganywa nayo..

Nidhamu si kubwa kuliko maagizo mbele ya teuzi
 
Polisi wako makini kuwakamata wabunge wa Chadema pekee, wale wahuni waliochoma ofisi za Chadema Arusha Mjini mpaka muda huu bado sijasikia taarifa yoyote toka jeshi la polisi.

Hii ni aibu kwa jeshi la polisi Tanzania.
Inategemea kipi kitawapa madaraka makubwa zaidi.

Akimkamata aliyechoma moto anaweza akakosa Uteuzi lakini akimkamata aliyeshika bendera kumsindikiza Mgombea kwa amani anaweza akapandishwa cheo zaidi na kuonekana kuwa ni Kada mwenzao.

Lakini pia naona kuna suala la sheria linaloingilina na urafiki ,uadui,ukabila,Ukanda na hata udini achilia mbali ukada wa Chama ndani ya dola la serikali ya Kenya.
Hili liliwasumbua sana Kwenye kwenye Uchaguzi uliopita.
 
kwa kweli nimeshaanga sana nilipoona hii kitu, hawa askari wapaaswa waache hii tabia haikisaidii chama zaidi wanawafanya wapiga kura wamuonee huruma tu huyo mgombea.
Na hilo ndilo litakalofuata, watu watapiga kura za hasira. Nasubiri siku Mh Tulia atakapochukua form nione.
 
Mimi polisi hata awe ndugu yangu wa damu sitakaa
1.Nimchangie harusi
2.Sitakaa niende msiba wa polisi
3.Sitakaa nimzike
4.Sitakaa nimkope hata kama nahakika anakufa mama yake
5.Sitakaa nimpangishe
ANGALIZO: Sitakaa nivunje sheria kwenye kuwadeal ikiwemo kutowatukana ,kutowaua ,japo siwezi kuahidi sitowaombea mabaya
Inategemea mana ukiangalia kwa makini wanaowatesa wapinzani ni wale makada wa CCM nandani ya majeshi.
Wale waliokua wanaajiriwa kwa kadi za CCM ambao bila shaka ndio wenye madaraka ndani ya majeshi yote na sio Polisi wenyewe Bali hata majeshi mengine.

Lakini wale vijana wa miaka ya 80 mpaka 90 wanafuata tu wanachoamrishwa na wale makada.
Hawa wengi hawana vyama na ni wastaarabu tu ndio maana hata ukiangalia hiyo Clip utaona kuwa wale wadogo walikua hawana mbwembwe sana.

Hata Chama kingine kikitawala bado kitafanya kazi na vyombo vya dola na kisipobadili katiba bado hali itakua ni hiyo hiyo mana Mara nyingine watu wanapeana madaraka ki ndugu ili kulindana hata kwa mguvu.

Haiwezekani nchi nzima vyombo vyote vya dola wakawa wanavunja sheria za vyama vya siasa bila kusukumwa na wanaotoa uteuzi.
Nguvu ya uteuzi ndiyo inayofanya watu kuwa na maamuzi ya ajabu ili kujipendekeza kwa wateuzi.
 
Richard ungekuwa ni timu, basi ungekuwa umeshuka daraja kwenye ujengaji wa hoja. Kusifiwa sio sifa ya kudumu. Ni sawa na mkulima kuisifia mvua iliyonyesha vizuri mpaka akapata mavuno ya kutosha. Siku hiyo mvua ikinyesha na kuleta mafuriko, usitegemee ataendelea kuisifia eti kisa kuna siku aliisifia baada ya kunyesha vyema. Kilichofanya polisi kusifiwa ni kwakuwa walifanya kazi kwa weledi, kinyume na tabia yao ya kunyanyasa wapinzani. Unaposema wanachokozwa unamaanisha nini? Au unaamini kwakuwa wao ni vyombo vya dola, basi wako juu ya sheria, na kitendo chochote cha kuwataka wafuate sheria ni kuwachokoza! Nyie ndio mnaomini kuwa polisi mara zote huwa sahihi, hivyo kumdhalilisha mtu ni sawa.

Kuandaa maandamano na kwenda kuchukua fomu nadhani Chadema wamekosea.
 
Tulia hana sifa ndani ya Chama chake na Nje ya Chama.
Amegawa Rushwa miaka minne lakini bado haki ikitendeka na Mungu akaamua kuondoa dhulma iliyowashinda wanadamu kuiondoa kwa mikono yao basi Sugu atashinda kwa kishindo kikubwa.

Serikali inatumia rushwa kuwaweka inaowataka na kuwazuia wale watu safi.

Yule Tulia hatashinda kwa haki hata kidogo na hata kwa dhuluma.

Tanzania tumeamua kuongozwa na Mungu tangu tulipojikabidhi mikononi mwa Mungu wakati wa Ugonjwa wa Korona .
Wanaomsifia Rais kuwa ni mchamungu halafu wanategemea dhulma kuingia madarakani wajue kuwa hawatatoboa mana Mungu ameamua kulisimamia Taifa hili lenye watu wapole ili wasioneewe na watu waliochukua Chapa ya Farao nafsini mwao.

Rais ameshasema uchaguzi uwe wa Uhuru na haki kila mtu avune atakachopanda.
Wote ni watanzania hakuna haja ya kuwaua watu wa Mbeya ili tu Tulia apate ubunge na Sugu akose. Sugu ni mtu wa Mbeya na Tulia ni mtu wa Mbeya ,
. Kwa nini tumweke mmoja wao kwenye uongozi Kwa damu za ndugu zake? Hizo ni sawa na ibada za makafara.
Kura zipigwe Kwa amani wana Mbeya wamchague wanayemtaka wao ndio maana ya Sanduku la kura na kupindua kura ni dhambi Kwa Mungu ndio maana nchi zinazopindua kura hua hazisalimiki mana Mungu anapoona dhulma hua anachafua hali ya hewa ili wanaodhulumu nao waadhibiwe.
Mungu ni Mungu wa Haki.
 
Vichwa vyenu vibovu nyie watu?

Umesema mwenyewe akidaiwa ameratibu maandamano bila taratibu.

Alafu unasema hujui sababu ni nini?

Yaani ninyi kiki ndio kila kitu?

Punguzeni usela zama zimebadilika hizi.
Zama anazibadili nani? magu?? khaaaaa putuu.Hii ni nchi yetu ambao unaodhani wana zama yao warudi chato zama zetu ni haki bin haki
 
POLISI WATAKIWA KUSIMAMIA NIDHAMU: Polisi imewataka maafisa wake kusimamia nidhamu na haki wakati wa kusimamia harakati mbalimbali za uchaguzi mkuu wa mwaka huu.

Kauli hiyo imetolewa na Kamishna wa Utawala na Rasilimali Watu, Benedict Wakulyamba wakati akifungua mafunzo ya siku mbili ya maafisa wanadhimu wa polisi na wahasibu wa jeshi hilo kutoka mikoa yote nchini.

Hiyo ndiyo elimu nadharia. Tunayo danganywa nayo..
Lakini wakati mwingine sio tatizo la jeshi zima ni mtu binafsi na uwezo wake wa kuelewa na kutafakari mambo
 
Zama anazibadili nani? magu?? khaaaaa putuu.Hii ni nchi yetu ambao unaodhani wana zama yao warudi chato zama zetu ni haki bin haki
sio kila kitu ni Magufuli tu jaribu kuwa na tafakuri kidogo, mbona Mh Lisu anazunguka kote na anapata watu, Mh Lipumba amerudi toka dodoma kapokelewa dar na umati bila shida?
 
sio kila kitu ni Magufuli tu jaribu kuwa na tafakuri kidogo, mbona Mh Lisu anazunguka kote na anapata watu, Mh Lipumba amerudi toka dodoma kapokelewa dar na umati bila shida?
Kuna watu wapo kwenye target kitambo tu.

Sasa dola haiwezi kuanza kusumbuka na mtu Kama Hashimu Rungwe
 
Back
Top Bottom