guwe_la_manga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 2,820
- 2,758
Kazi ipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo mambo ata NEC wameyazungumzia awataki marudio ya uchaguzi wa serikali za mitaa kila mtu apewe form kuelekea uchaguzi mkuu.
Haya kiko wapi wasindikizaji walitakiwa kuwa wasaidizi lolote likitokea kwa mujibu wa Lissu kuna mtu umeona kasogea karibu na polisi wakati mwenzao anaburuzwa kwenye karandinga.
Vitu vingine ni kujitakia tu.
Nahisi hata ngoma za harusi zikipigwa na wapinzani mitaani zitatafsiriwa ni maandamano. Kuna tofauti kati ya maandamano na usindikizaji. Maandamano ni lazima yamalizie sehemu fulani na kupokelewa na viongozi walioratibiwa kuyapokea hayo maandamano. Ukiwauliza polisi haya maandamano yalikuwa yanapokelewa wapi hawatakujibu.Kaenda na maandamano kuchukua fomu wakati hairuhusiwi
Hatishi tu CCM Bali juu zaidi kwa sababu mtia nia ya kugombea Jimbo hilo wa Chama cha CCM ni Mtoto mpendwa wa mpendwa wetu. Vijembe lazima vitakuja ili mgombea ashinde akaendelee na juunga mkono juhudi Bungeni badala ya Ndugai.Hahaha anataka kuwa IGP nini?! Tusubirie vijembe vya Rais Magufuli.
Kumbe Sugu anaitisha CCM kiasihicho?!
Not sure if you are referring to the street or village.Sawa mzee wa Kalenga
acha wameanza tena cdmHaya mambo ya kipumbafu ndo yalimuua Aqulina! RIP
Lakini hebu tuseme ukweli kwa nini ameenda kuchukua fomu na maandamano wakati hawaruhusiwi? Mbona wangombea urais akiwemo Msaliti Lissu hawakuenda na maandamano?? Ameyataka mwenyewe!Balaa hii. Yote haya ni mkuu wa mkoa aliyeapa kumuangusha Sugu.
Kilichomletea matatizo mkusanyiko sio uchukuaji wa form.Wewe kwa akili yako timamu ni kweli hasa unaamini kama hao polisi wana sababu ya kweli ya kumchukuwa Sugu akiwa ndani ya jengo la tume akichukuwa fomu ya kugombea? Huo ustaarabu ulizaliwa Tanzania?
Tulia hachomoki hata mfanye vipiJeshi la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia Joseph Mbilinyi (SUGU) kwa tuhuma za kuratibu maandamano kinyume cha Sheria, tukio hilo limetokea leo alipokuwa anachukua fomu ya kuwania tiketi ya Ubunge jimbo la Mbeya Mjini kupitia tiketi ya chama chake cha Chadema.
Sugu amekamatwa pamoja na wanachama wa Wengine wa CHADEMA. Baadhi ya Waliokamatwa ni Stive Mwenyekiti wa BAVICHA Mkoa, Katibu wa mbunge, Kasambala.
Hii imetokeaa bila kujulikana sababu, angalia.
Pesa za Tulia walizokula watazitapika. Walichotumwa hawataweza.Balaa hii. Yote haya ni mkuu wa mkoa aliyeapa kumuangusha Sugu.
ucku tunaouendea hapatakucha vizuri labda wa mwachie kabla ya giza, sasa basi siyo kwa uonevu huu,yule bibi mweusi kule Mbeya kapiga kampeni miak3 bila kubughudhiwa Leo mtu kazindikizwa na wafuasi wake eti maandamano, sasa ndo mtaiona hayo maandamanoJeshi la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia Joseph Mbilinyi (SUGU) kwa tuhuma za kuratibu maandamano kinyume cha Sheria, tukio hilo limetokea leo alipokuwa anachukua fomu ya kuwania tiketi ya Ubunge jimbo la Mbeya Mjini kupitia tiketi ya chama chake cha Chadema.
Sugu amekamatwa pamoja na wanachama wa Wengine wa CHADEMA. Baadhi ya Waliokamatwa ni Stive Mwenyekiti wa BAVICHA Mkoa, Katibu wa mbunge, Kasambala.
Hii imetokeaa bila kujulikana sababu, angalia.
Daaah hivi hawa polisi inakuwaje wanafanya hivi, mbona wana mtafutia ushindi kwa kura za huruma huyu mtu? muacheni tu kama alivyoachwa Lisu.Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia Joseph Mbilinyi (SUGU) kwa tuhuma za kuratibu maandamano kinyume cha Sheria, tukio hilo limetokea leo alipokuwa anachukua fomu ya kuwania tiketi ya Ubunge jimbo la Mbeya Mjini kupitia tiketi ya chama chake cha Chadema.
Sugu amekamatwa pamoja na wanachama wa Wengine wa CHADEMA. Baadhi ya Waliokamatwa ni Stive Mwenyekiti wa BAVICHA Mkoa, Katibu wa mbunge, Kasambala.
Hii imetokeaa bila kujulikana sababu, angalia.
Kwani mkusanyiko ndio maandamano? Juzi kwa Ben kulikuwa na mkusanyiko. Kwenye maharusi tunaona mikusanyiko. Night clubs kuna mikusanyiko. Are you guys OK there upstairs?Kilichomletea matatizo mkusanyiko sio uchukuaji wa form.
Lakini sa ccm wakienda kuchukua fomu na kusindikizwa ni sawa?Lissu atawaponza wengi huu uhamasishaji wake wakutaka watu wasindikizwe ni kucheza bahati nasibu na polisi.
Pamoja na makosa ya Sugu, lugha aliyotumia polisi kwa kweli ni very provocative, iliyokosa staha na si lugha ya kiaskari. Ata mabosi wake wakitetea lugha wananchi tutashangaa.
The whole arrest procedure is wrong, lakini huyu Lissu atawaletea watu matatizo.
Kilichomletea matatizo mkusanyiko sio uchukuaji wa form.
hao watu waliharibu niniHivi mtu anashindwa kwenda kuchukua form zake taratibu aondoke mpaka akusanye watu kibao aende nao?