Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Tunaomba majina kamili ya huyo Polisi aliyeongoza operesheni ya kumzuia Sugu kuchukua fomu , nakuhakikishieni kwamba nitaongoza kampeni ya kumfuta kazi baada ya uchaguzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe hujaona shughuli mbalimbali za CCM??? Kwani wale vijana wa uvccm waliokusanyika daraja la flyover ubungo kumpokea magufili wakati anatoka Dodoma walikuwa na kibali??Nani kafanya kutoka CCM kipindi hiki cha uchaguzi amekusanya watu (kwanza washatoa hata hiyo list yao ya wagombea ubunge) sio CCM tu chama gani kingine kimefanya mkusanyiko?
Ata mapokezi ya Lipumba yalipata kibali cha polisi.
Unamawazo mgando sana kwahiyo ulitaka na siku hiyo akamatwe?Mbona siku wamempokea Lissu waliandamana na hakuna tatizo lililotokea hii nchi kama vurugu zitakuja kutokea zitasababishwa na jeshi la polisi na IGP afahamu hilo ili siku yakitokea asiseme yeye hahusiki.
Muda mwingine polisi nao wanachokozwa, watu wanafanya mambo yaliyokatazwa kwa makusudi ili wapate sababu tu.Hili ndio tatizo lenu ni juzi tu IGP kawafafanulia ni kosa kufanya ivyo bila ya kibali ni hekima tu inawaongoza wanapokaa kimya.
Watapata majibu hao polisi. Uonevu sasa basi. Imetosha kwa kweliNaomba hamasisha vijana wa Mbeya mbona wamekaa kisengesenge bwana wanamuangusha Sugu police ni wachache vijana mkiamua mnaweza bwana acheni uoga wa ki senge BAVICHA amkeni bwana.
Mkuu ondoa kabisa shaka , tunayo plan BDr Bashiru alisema watatumia dola kushinda uchaguzi.
Haya yana mwisho kura yangu kwa upinzaniJeshi la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia Joseph Mbilinyi (SUGU) kwa tuhuma za kuratibu maandamano kinyume cha Sheria, tukio hilo limetokea leo alipokuwa anachukua fomu ya kuwania tiketi ya Ubunge jimbo la Mbeya Mjini kupitia tiketi ya chama chake cha Chadema.
Sugu amekamatwa pamoja na wanachama wa Wengine wa CHADEMA. Baadhi ya Waliokamatwa ni Stive Mwenyekiti wa BAVICHA Mkoa, Katibu wa mbunge, Kasambala.
Hii imetokeaa bila kujulikana sababu, angalia.
Haya yana mwisho tu kura yangu kwa upinzani
Ndio tatizo lenuWewe hujaona shughuli mbalimbali za CCM??? Kwani wale vijana wa uvccm waliokusanyika daraja la flyover ubungo kumpokea magufili wakati anatoka Dodoma walikuwa na kibali???
Police Force and Auxiliary Service Act 2002Huyo askari ukimtazama tu ni mtu wa kusikitikiwa sana. Akili ndogo, busara hana, na bila shaka mwisho wake utakuwa wa hovyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli Chalamila anahusika na njama zote kuhakikisha Tulia anashinda Jimbo la Mbeya. Hata kwenye kura za maoni ndani ya CCM tuliona Ndele Mwaselela akitishiwa asichukue fomu ya kutia nia. Na Cosmas Mwaifwani naye alidhibitiwa na TAKUKURU mara alipoonekana Mbeya kabla ya kura za maoni.Balaa hii. Yote haya ni mkuu wa mkoa aliyeapa kumuangusha Sugu.
Tatizo liwe kwa chadema tu???Ndio tatizo lenu
Wewe kwa akili yako timamu ni kweli hasa unaamini kama hao polisi wana sababu ya kweli ya kumchukuwa Sugu akiwa ndani ya jengo la tume akichukuwa fomu ya kugombea? Huo ustaarabu ulizaliwa Tanzania?Lissu atawaponza wengi huu uhamasishaji wake wakutaka watu wasindikizwe ni kucheza bahati nasibu na polisi.
Pamoja na makosa ya Sugu, lugha aliyotumia polisi kwa kweli ni very provocative, iliyokosa staha na si lugha ya kiaskari. Ata mabosi wake wakitetea lugha wananchi tutashangaa.
The whole arrest procedure is wrong, lakini huyu Lissu atawaletea watu matatizo.
Hawa polisi wapewe muongozo kuwa zeoezi la kuelekea ktk uchaguzi ni mchakato / processs inayohusu watu kuwepo hata harusi haifanywi kwa kificho hivyo hili lazima lifanyike kwa kusindikizwa kuchukua fomu, kutambulishwa, kuwaonesha wadhamini fomu imechukuliwa ,kuomba wadhamini, kuwashuru wajumbe, kuanza kampeni, kupiga kura, kuhesabu kura, kuhakiki kura, kusaini matokeo na hatimaye mshindi kutangazwa. Huku kote na ngazi zote za mchakato lazima watu wawepo
https://fikrapevu.com › kumbuk...
KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE: Wasomi wahoji uhuru ...
13 Apr 2018 · ... Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku amesema baba wa taifa alituachia msingi mzuri wa
Kwahiyo wakifanya kosa isisemwe kisa waliwahi kufuata utaratibu? au wewe ndo jamii ya wale wanaokula kodi ya wananchi bure kule.Lakini polisi walivyokuwa wamewapa nafasi tangu Tundu Lissu amerudi, mliwasifu sana sasa mnawachokoza tena?