Uchaguzi 2020 Mbeya: Joseph Mbilinyi(Sugu) akamatwa na Polisi wakati akichukua fomu ya Uteuzi

Uchaguzi 2020 Mbeya: Joseph Mbilinyi(Sugu) akamatwa na Polisi wakati akichukua fomu ya Uteuzi

Polisi wako makini kuwakamata wabunge wa Chadema pekee, wale wahuni waliochoma ofisi za Chadema Arusha Mjini mpaka muda huu bado sijasikia taarifa yoyote toka jeshi la polisi.

Hii ni aibu kwa jeshi la polisi Tanzania.
Wapinzani wanakuwa docile Sana....kama wana nguvu ya umma pale ndo pakuionesha.
 
Sugu ana makosa gani Kwani kuna sheria inakataza watu kusindikiza mgombea kwenda kuchukua form mbona Tunduma walikuwa watu wamejaa wanamsindikiza mgombea wao inamaana kule hakuna polisi. Wacha wamuandalie mazingira ya kishinda vizuri zaidi
Sheria inasema mikusanyiko inataka kibali cha polisi; ndio maana nikasema ni kucheza kamali nao usipoomba kibali linabaki swala la utashi.
 
Mmmmmmh!!!

Mimi nafikiria.. hivi watu.. hawawezi kuwa smati kutimiza malengo.. zaidi ya hivi!!!...

Pale kura zinapelekwa huko.. huko.. mnapotafutia muntu drama!!..

Alitaka kama kuita.. asaidiwe.. ila akaona.. naaah.. mimi lazima nimalizane.. naye mwenyewe.. iwe mimi.. nisishindwe.. tupe kilipu tutakupa kapsheni..

Magufuli 2020 💯
 
Acha kushikiwa akili. Hakuna kosa kwenda kuchukua fomu na watu! Mbona Mwakanjoka alichukua juzi Tunduma na hakukuwa na shida. Huu ni uonevu wa mchana kweupe na ninajua wana mbeya lazima walipe.

Enough is enough!!
Hili ndio tatizo lenu ni juzi tu IGP kawafafanulia ni kosa kufanya ivyo bila ya kibali ni hekima tu inawaongoza wanapokaa kimya.
 
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia Joseph Mbilinyi (SUGU) kwa tuhuma za kuratibu maandamano kinyume cha Sheria, tukio hilo limetokea leo alipokuwa anachukua fomu ya kuwania tiketi ya Ubunge jimbo la Mbeya Mjini kupitia tiketi ya chama chake cha Chadema.

Sugu amekamatwa pamoja na wanachama wa Wengine wa CHADEMA. Baadhi ya Waliokamatwa ni Stive Mwenyekiti wa BAVICHA Mkoa, Katibu wa mbunge, Kasambala.

Hii imetokeaa bila kujulikana sababu, angalia.

Huyo askari mbona ni kituko, badala ya kufanya kazi yake anaanza kufanya personal attacks; kwamba "nisije nikakuvunjia heshima ambayo kwanza huna".
 
Polisi wako makini kuwakamata wabunge wa Chadema pekee, wale wahuni waliochoma ofisi za Chadema Arusha Mjini mpaka muda huu bado sijasikia taarifa yoyote toka jeshi la polisi.

Hii ni aibu kwa jeshi la polisi Tanzania.
Kama unawafahamu peleka majina yao sehemu husika halafu uone kama watakamatwa au la! Swala la upelelezi/uchunguzi ni swala pana sana, tuache mihemko ktk mambo serious.
 
Lissu atawaponza wengi huu uhamasishaji wake wakutaka watu wasindikizwe ni kucheza bahati nasibu na polisi.

Pamoja na makosa ya Sugu, lugha aliyotumia polisi kwa kweli ni very provocative, iliyokosa staha na si lugha ya kiaskari. Ata mabosi wake wakitetea lugha wananchi tutashangaa.

The whole arrest procedure is wrong, lakini huyu Lissu atawaletea watu matatizo.
Lissu amefanya nini hapo mkuu
 
Askari gani anasema "usituletee mambo ya kisenge"
Ole wao wasimpe dhamana kwa kisingizio cha usalama wake .
 
Back
Top Bottom