MASHUKE ORIGINAL
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 223
- 429
Aisee tuna safari ndefu kwa kweli, Mimi sio mshabiki wa Upinzani ila inaumiza. Polisi tendeni haki, naona kama nyie ndo mtatuchafulia amani ya hii nchi. Sijapenda kwa kweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unaijua MBEYA kuliko Sugu?Waache kwenda Kihuni, Mbeya si sehemu ya Kufanyia Uhuni.
Aisee tuna safari ndefu kwa kweli, Mimi sio mshabiki wa Upinzani ila inaumiza. Polisi tendeni haki, naona kama nyie ndo mtatuchafulia amani ya hii nchi. Sijapenda kwa kweli.
Acha kushikiwa akili. Hakuna kosa kwenda kuchukua fomu na watu! Mbona Mwakanjoka alichukua juzi Tunduma na hakukuwa na shida. Huu ni uonevu wa mchana kweupe na ninajua wana mbeya lazima walipe.Lissu atawaponza wengi huu uhamasishaji wake wakutaka watu wasindikizwe ni kucheza bahati nasibu na polisi.
Pamoja na makosa ya Sugu, lugha aliyotumia polisi kwa kweli ni very provocative na sidhani kama ni lugha ya kiaskari ata mabosi wake wakisikiliza sidhani kama watakubaliana nae.
The whole arrest procedure is wrong, lakini huyu Lissu atawaletea watu matatizo.
Imetosha kwa kweli!! Watuue wote. Enough is enoughNa Picha iko wazi. Sugu alikuwa tayari ameshakabidhi fomu zake kwa msaidizi ili kutii agizo la polisi. Mbona hao polisi hawatumii busara hata ndogo. Hapo Sugu kila dalili iko wazi ni mtiifu wa sheria, tatizo hizo lugha za Polisi.
Kama kuna maelekezo vile, hata angepigiwa simu angeenda Polisi. Uvumilivu una mwisho.
Polisi nyinyi ni sehemu ya jamii, msijisahau ndio kwanza mkoko unaalika maua.
Lissu atawaponza wengi huu uhamasishaji wake wakutaka watu wasindikizwe ni kucheza bahati nasibu na polisi.
Pamoja na makosa ya Sugu, lugha aliyotumia polisi kwa kweli ni very provocative, iliyokosa staha na si lugha ya kiaskari. Ata mabosi wake wakitetea lugha wananchi tutashangaa.
The whole arrest procedure is wrong, lakini huyu Lissu atawaletea watu matatizo.
Kaenda na maandamano kuchukua fomu wakati hairuhusiwi