Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Kumekucha Sasa Hivi
Siasa Siyo Uadui Apewe Nafasi Ili Kama Atashindwa Iwe Ndani Ya Sanduku La Kura
Uwezo wa kumshinda kwa njia ya kura haupo. Ndio maana unaona polisi wanatumika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumekucha Sasa Hivi
Siasa Siyo Uadui Apewe Nafasi Ili Kama Atashindwa Iwe Ndani Ya Sanduku La Kura
Hawa sio watu maana wanakubali kutekeleza amri zote haramuMimi polisi hata awe ndugu yangu wa damu sitakaa
1.Nimchangie harusi
2.Sitakaa niende msiba wa polisi
3.Sitakaa nimzike
4.Sitakaa nimkope hata kama nahakika anakufa mama yake
5.Sitakaa nimpangishe
ANGALIZO: Sitakaa nivunje sheria kwenye kuwadeal ikiwemo kutowatukana ,kutowaua ,japo siwezi kuahidi sitowaombea mabaya
Hakuna sehemu nime support lugha ya askari.Askari gani anasema "usituletee mambo ya kisenge"
Ole wao wasimpe dhamana kwa kisingizio cha usalama wake .
Maagizo kutoka juu...... Wewe unakujua juu au unabwabwaja tuKwa hiyo Magufuli ndiye aliyemkamata Sugu?
Lissu atawaponza wengi huu uhamasishaji wake wakutaka watu wasindikizwe ni kucheza bahati nasibu na polisi.
Pamoja na makosa ya Sugu, lugha aliyotumia polisi kwa kweli ni very provocative, iliyokosa staha na si lugha ya kiaskari. Ata mabosi wake wakitetea lugha wananchi tutashangaa.
The whole arrest procedure is wrong, lakini huyu Lissu atawaletea watu matatizo.
Sheria ya wapi hiyo? Wewe mbumbumbu kweli. Hakuna sheria ya namna hiyo nchini Tanzania.Sheria inasema mikusanyiko inataka kibali cha polisi; ndio maana nikasema ni kucheza kamali nao usipoomba kibali linabaki swala la utashi.
Huu uchaguzi na wasiwasi
Hayo mambo ata NEC wameyazungumzia awataki marudio ya uchaguzi wa serikali za mitaa kila mtu apewe form kuelekea uchaguzi mkuu.Ukijaribu kutazama unaweza kudhani alichoshauri Lisu ni kitu kibaya, lakini kiuhalisia Lisu ameshauri jambo sahihi labda kama una mpango wa kukwepa ukweli. Sio mara moja au 2 wagombea wa Cdm wamekuwa wakiporwa fomu za uchaguzi, na polisi wasiowaaminifu hutumika kwenye uchafu huo, na ushahidi upo. Kwa bahati mbaya sana wanaccm huwa hawakutani na hizi dhahama, hivyo uhayawani huu kuendelea hapa nchini. Unamtaja Lisu kama chanzo cha hiyo hali ili kubeba ajenda zako, lakini kwa makusudi kabisa unakwepa chimbuko la tatizo,ambalo linaeleweka
hivi kumbe tulidanganywa "polichi ni divisheni 4 " lakini kwa huyu jamaa anavyo-ongea, "itakuwa ni wale waliopata ziro" ndio wanapelekwa hukoJeshi la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia Joseph Mbilinyi (SUGU) kwa tuhuma za kuratibu maandamano kinyume cha Sheria, tukio hilo limetokea leo alipokuwa anachukua fomu ya kuwania tiketi ya Ubunge jimbo la Mbeya Mjini kupitia tiketi ya chama chake cha Chadema.
Sugu amekamatwa pamoja na wanachama wa Wengine wa CHADEMA. Baadhi ya Waliokamatwa ni Stive Mwenyekiti wa BAVICHA Mkoa, Katibu wa mbunge, Kasambala.
Hii imetokeaa bila kujulikana sababu, angalia.
Naomba hamasisha vijana wa Mbeya mbona wamekaa kisengesenge bwana wanamuangusha Sugu police ni wachache vijana mkiamua mnaweza bwana acheni uoga wa ki senge BAVICHA amkeni bwana.ubarinolutu,
Sasa ni dhahili kuwa Polisi wameamua kufanya Shari. Wana Mbeya hawajawai kuniangusha najua tutapata mrejesho!!!
Mwaka huu ndo mwisho wa CCM wapende wasipende
Kasome public order offences kwenye penal code za Tanzania.Sheria ya wapi hiyo? Wewe mbumbumbu kweli. Hakuna sheria ya namna hiyo nchini Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app