harder king
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,970
- 6,907
Halafu kuna mtu anasema tuombe uchaguzi uwe wa amani tena akiwa kwenye nyumba za ibada kumbe ni kutuadaa huku yeye akifanya kinyume chake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapinzani wanakuwa docile Sana....kama wana nguvu ya umma pale ndo pakuionesha.Polisi wako makini kuwakamata wabunge wa Chadema pekee, wale wahuni waliochoma ofisi za Chadema Arusha Mjini mpaka muda huu bado sijasikia taarifa yoyote toka jeshi la polisi.
Hii ni aibu kwa jeshi la polisi Tanzania.
Sheria inasema mikusanyiko inataka kibali cha polisi; ndio maana nikasema ni kucheza kamali nao usipoomba kibali linabaki swala la utashi.Sugu ana makosa gani Kwani kuna sheria inakataza watu kusindikiza mgombea kwenda kuchukua form mbona Tunduma walikuwa watu wamejaa wanamsindikiza mgombea wao inamaana kule hakuna polisi. Wacha wamuandalie mazingira ya kishinda vizuri zaidi
Hili ndio tatizo lenu ni juzi tu IGP kawafafanulia ni kosa kufanya ivyo bila ya kibali ni hekima tu inawaongoza wanapokaa kimya.Acha kushikiwa akili. Hakuna kosa kwenda kuchukua fomu na watu! Mbona Mwakanjoka alichukua juzi Tunduma na hakukuwa na shida. Huu ni uonevu wa mchana kweupe na ninajua wana mbeya lazima walipe.
Enough is enough!!
Huyo askari mbona ni kituko, badala ya kufanya kazi yake anaanza kufanya personal attacks; kwamba "nisije nikakuvunjia heshima ambayo kwanza huna".Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia Joseph Mbilinyi (SUGU) kwa tuhuma za kuratibu maandamano kinyume cha Sheria, tukio hilo limetokea leo alipokuwa anachukua fomu ya kuwania tiketi ya Ubunge jimbo la Mbeya Mjini kupitia tiketi ya chama chake cha Chadema.
Sugu amekamatwa pamoja na wanachama wa Wengine wa CHADEMA. Baadhi ya Waliokamatwa ni Stive Mwenyekiti wa BAVICHA Mkoa, Katibu wa mbunge, Kasambala.
Hii imetokeaa bila kujulikana sababu, angalia.
Kama unawafahamu peleka majina yao sehemu husika halafu uone kama watakamatwa au la! Swala la upelelezi/uchunguzi ni swala pana sana, tuache mihemko ktk mambo serious.Polisi wako makini kuwakamata wabunge wa Chadema pekee, wale wahuni waliochoma ofisi za Chadema Arusha Mjini mpaka muda huu bado sijasikia taarifa yoyote toka jeshi la polisi.
Hii ni aibu kwa jeshi la polisi Tanzania.
Wanavyofanya CCM wanakuwa na vibali???Hili ndio tatizo lenu ni juzi tu IGP kawafafanulia ni kosa kufanya ivyo bila ya kibali ni hekima tu inawaongoza wanapokaa kimya.
Nani kafanya kutoka CCM kipindi hiki cha uchaguzi amekusanya watu (kwanza washatoa hata hiyo list yao ya wagombea ubunge) sio CCM tu chama gani kingine kimefanya mkusanyiko?Wanavyofanya CCM wanakuwa na vibali???
Lissu amefanya nini hapo mkuuLissu atawaponza wengi huu uhamasishaji wake wakutaka watu wasindikizwe ni kucheza bahati nasibu na polisi.
Pamoja na makosa ya Sugu, lugha aliyotumia polisi kwa kweli ni very provocative, iliyokosa staha na si lugha ya kiaskari. Ata mabosi wake wakitetea lugha wananchi tutashangaa.
The whole arrest procedure is wrong, lakini huyu Lissu atawaletea watu matatizo.
Hebu weka hicho kifungu hapoAnawajibika kufuata sheria
Ukifanya vizuri unasifiwa ukifanya hovyo unapondwa, hii ipo duniani koteLakini polisi walivyokuwa wamewapa nafasi tangu Tundu Lissu amerudi, mliwasifu sana sasa mnawachokoza tena?
Haya mambo ya kutumia chama dola kutumia polisi yana mwisho wake.
Askari gani anasema "usituletee mambo ya kisenge"Lissu atawaponza wengi huu uhamasishaji wake wakutaka watu wasindikizwe ni kucheza bahati nasibu na polisi.
Pamoja na makosa ya Sugu, lugha aliyotumia polisi kwa kweli ni very provocative, iliyokosa staha na si lugha ya kiaskari. Ata mabosi wake wakitetea lugha wananchi tutashangaa.
The whole arrest procedure is wrong, lakini huyu Lissu atawaletea watu matatizo.