Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Duuuh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani Mungu ni fundi sana........Angepewa haki ya kugawa pumzi asingebaki mtu duniani
https://cldup.com/Xg633uzCFd.pdf?do...BU SURA YA 16 KWA KISWAHILI (PENAL CODE).pdfPublic order ya wp!?
ww ni kilatha ama kilaza!!
Kwa iyo mikusanyiko isiyo ya halali ni ya Chadema tu??? Ya CCM yote ni halali. Mnatuona watanzania wajinga sana nyie watu
Mkusanyiko usio halali is always a question of fact..
Sheria na kifungu husika👇 ‘police force and auxiliary services act 2002’.Mkusanyiko usio halali is always a question of fact..
usikariri hivyo fifungu kuna namna ya kuchambua...
We tatizo lako ukiuliza A ukaletewa ushahidi na jibu. Una twist na kusogeza goli.Kwa iyo mikusanyiko isiyo ya halali ni ya Chadema tu??? Ya CCM yote ni halali. Mnatuona watanzania wajinga sana nyie watu
Unajua maana ya notification??? Kwa ukilaza wako notification unaelewa ni Kibali???Sheria na kifungu husika👇
https://policehumanrightsresources....e-Force-and-Auxiliary-Services-Act.pdf?x96812
View attachment 1537113
Tatizo lenu mnasikiliza sana porojo za Lissu
Sawa acheni double standard....Sheria na kifungu husika👇 ‘police force and auxiliary services act 2002’.
https://policehumanrightsresources....e-Force-and-Auxiliary-Services-Act.pdf?x96812
View attachment 1537113
Tatizo lenu mnasikiliza sana porojo za Lissu; soma mpaka article 46 utaelezewa utaratibu wote.
Maandamano bila kibali, ukiwaambia watoe tafsiri ya maandamano au viashiria ili yaatwe maandamano hawana jibu hao wasaka teuzitusubiri tutakacho elezwa na mhusika au polisi kwenye taarifa yao
Askari hawana shida yoyote niamini.Huwa nashangaa Sana mpinzani bungeni kutetea maslai ya Askari naona huwa Ni punguani
Embu kasome kwanza link yote kuanzia article 42-46 unatakiwa utoe notification ndio upewe kibali cha kukusanya watu in public assembly.Unajua maana ya notification??? Kwa ukilaza wako notification unaelewa ni Kibali???
Nijibu swali langu. Unajua maana ya notification???Embu kasome kwanza link yote kuanzia. article 42-46 unatakiwa utoe notification ndio upewe kibali cha kukusanya watu in public spaces.
Na polisi wana Power za kukupa au kukunyima hivi kubisha mmekuwa programmed ama? Wewe na wenzako wengine wawili kazi kubisha tu.
SijuiNijibu swali langu. Unajua maana ya notification???
Mkuu hapa sio ishu ya uvyama, jaribu kuifikiria Tanzania kwanza, uongozi Ni pamoja na busara ,alichokifanya Huyo afande wa jeshi la polisi sio sahihi , kwa mtazamo wangu lakini mkuu.Lakini polisi walivyokuwa wamewapa nafasi tangu Tundu Lissu amerudi, mliwasifu sana sasa mnawachokoza tena?