Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Mkuu Wangu Mbona Unahamasisha vurugu?!!!Vijana wa Mbeya Embu leo pelekeni salamu kwa hao watu wajue Uchaguzi huu hatutaki uonevu. Wala msiukalie kimya huu uonevu wa mchana kweupe. Najua hamuwezi kuniangusha
Wametumwa kuja kwenda kumwekea SumuEleza amekatwa kwa kosa gani.
Huyo mkuu awe makini asije akaanguka yeyeBalaa hii. Yote haya ni mkuu wa mkoa aliyeapa kumuangusha Sugu.
Define maandamano kisheria.Lakini hebu tuseme ukweli kwa nini ameenda kuchukua fomu na maandamano wakati hawaruhusiwi? Mbona wangombea urais akiwemo Msaliti Lissu hawakuenda na maandamano?? Ameyataka mwenyewe!
Kama ni hivyo basi walinzi wawili watatu watosha.
Si kundi kubwa la watu hiyo yaleta vurugu na uvunjifu wa utulivu.
Mleta uzi please naomba utuweke sawa hayo maandamano yalikuwa yanahusubnini!?Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia Joseph Mbilinyi (SUGU) kwa tuhuma za kuratibu maandamano kinyume cha Sheria, tukio hilo limetokea leo alipokuwa anachukua fomu ya kuwania tiketi ya Ubunge jimbo la Mbeya Mjini kupitia tiketi ya chama chake cha Chadema.
Sugu amekamatwa pamoja na wanachama wa Wengine wa CHADEMA. Baadhi ya Waliokamatwa ni Stive Mwenyekiti wa BAVICHA Mkoa, Katibu wa mbunge, Kasambala.
Hii imetokeaa bila kujulikana sababu, angalia.
Ameshatoka mkuu maform zake zipo salama .Kwahiyo ww ndio unataka iwe hivyo?
Nani kakwambia hao watu walifanya vurugu na uvunjifu wautulivu...
Usiwapangie watu Cha kufanya.
Hali bado kidogo kuwa tete... Haki aiombwi ila inatafutwa..
Ameshatoka mkuu maform zake zipo salama .
Ila wakae wakijua cheo ni dhamana,mtaani lazima tukutane tu
Yeye police alipomdhihaki kuwa hana uheshimiwa wowote hukuiona hiyo kama provocative vile vile ?!. Kote watu wamechkuwa fomu hivyo na hakuna hata glasi iliyovunjika. Kwanini iwe tofauti kwa Sugu ?!
Hahahhahahah We jamaa nawe umebaki kuwa Mbeya na muongo muongoTunaomba majina kamili ya huyo Polisi aliyeongoza operesheni ya kumzuia Sugu kuchukua fomu , nakuhakikishieni kwamba nitaongoza kampeni ya kumfuta kazi baada ya uchaguzi
Kwani machadema mnakuwa wapi Hadi wanachoma ofisi? Ndo mtaingia barabarani kweli nyie?Polisi wako makini kuwakamata wabunge wa Chadema pekee, wale wahuni waliochoma ofisi za Chadema Arusha Mjini mpaka muda huu bado sijasikia taarifa yoyote toka jeshi la polisi.
Hii ni aibu kwa jeshi la polisi Tanzania.
From the intention of the law (this is very important in interpreting meaning of words in written law) if a permission needs to be granted before public gathering. In that case ‘notifification in writing’ means application to assemble and not othewise.Ni taarifa ya kusudio la jambo utakalo fanya!
Mwakyembe ndio basi tenaHahahhahahah We jamaa nawe umebaki kuwa Mbeya na muongo muongo
Naomba majibu ya haya yafuatayo
-Naibu speaker Tulia atavuliwa cheo vipi movement imeishiwa wapi
-Dr Mwakyembe atavuliwa ubunge na Mwamnyaki vipi umefikia wapi?
Waambie ulipo na jina lako halisi waje wakuue.Imetosha kwa kweli!! Watuue wote. Enough is enough
Hutokaa kamwe usikie wamekamatwa!! Kwa maana wachomaji ni "wasiojulikana toka Mars au Jupiter "Polisi wako makini kuwakamata wabunge wa Chadema pekee, wale wahuni waliochoma ofisi za Chadema Arusha Mjini mpaka muda huu bado sijasikia taarifa yoyote toka jeshi la polisi.
Hii ni aibu kwa jeshi la polisi Tanzania.