Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Aaagh mkuu acha kumzushia Banaa,Kweli Mh.RC alisema hayo?!!!!Hicho kidudumtu chenye sura mbaya roho mbaya ndicho kinachoratibu huu uchafu mbeya..... Si mnajua kimepitisha kwa kejeli kabisa eti viongozi na wasaidizi wa mihimili wanaruhusiwa kuvunja katiba bila kushitakiwa.....
Nadhani kuna jambo baya linakujaNaelewa maana ya "sasa basi..."
Misafara ya harusi huwa inapewa vibali? Hakukuwa na haja yoyote ya kumkamata kwa nguvu zote zile kwani hakukuwa na fujo yoyote, polisi walitakiwa kuwalinda wananchi na si kama walivyofanya na kumsemea Sugu maneno ya kuudhi. IGP aseme neno hapa.Sheria inasema mikusanyiko inataka kibali cha polisi; ndio maana nikasema ni kucheza kamali nao usipoomba kibali linabaki swala la utashi.
Mwaka huu mkibeep sie tunapiga. Uonevu sasa baaasi!!!Mk
Mkuu Wangu Mbona Unahamasisha vurugu?!!!
It's true Yule POLISI mmoja amekosea sana,hasa kutoa lugha Yenye kumdhalilisha Yeye Mwenyewe...na pia kumdhalilisha mbunge wake.....
Limeonekana....na nadhani halitapita bila kukosolewa na mamlaka zaidi ya wao....
Amani Kwanza
Tanzania Kwanza.
Mwenyekiti wa *CHADEMA* wilaya ya Ruangwa ajiuzulu, *asimulia tukio linalodaiwa la utekaji* asema Katibu aliratibu tukio hilo kwa lengo ovu, misimamo yake ndani ya chama yamfanya atake kudhuriwa na genge la Katibu wake.Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia Joseph Mbilinyi (SUGU) kwa tuhuma za kuratibu maandamano kinyume cha Sheria, tukio hilo limetokea leo alipokuwa anachukua fomu ya kuwania tiketi ya Ubunge jimbo la Mbeya Mjini kupitia tiketi ya chama chake cha Chadema.
Sugu amekamatwa pamoja na wanachama wa Wengine wa CHADEMA. Baadhi ya Waliokamatwa ni Stive Mwenyekiti wa BAVICHA Mkoa, Katibu wa mbunge, Kasambala.
Hii imetokeaa bila kujulikana sababu, angalia.
Polisi ya Tanzania kosa na ushahidi unaukuta kituoni tu full kubambikianaEleza amekatwa kwa kosa gani.
From reading the law which public assemblies do you think it intended to regulate?Misafara ya harusi huwa inapewa vibali? Hakukuwa na haja yoyote ya kumkamata kwa nguvu zote zile kwani hakukuwa na fujo yoyote, polisi walitakiwa kuwalinda wananchi na si kama walivyofanya na kumsemea Sugu maneno ya kuudhi. IGP aseme neno hapa.
Nani kafanya kutoka CCM kipindi hiki cha uchaguzi amekusanya watu (kwanza washatoa hata hiyo list yao ya wagombea ubunge) sio CCM tu chama gani kingine kimefanya mkusanyiko?
Ata mapokezi ya Lipumba yalipata kibali cha polisi.
Hizo Ni hujuma hujuma hujuma hujuma ndani ya Mbeya kuandaa tensionJeshi la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia Joseph Mbilinyi (SUGU) kwa tuhuma za kuratibu maandamano kinyume cha Sheria, tukio hilo limetokea leo alipokuwa anachukua fomu ya kuwania tiketi ya Ubunge jimbo la Mbeya Mjini kupitia tiketi ya chama chake cha Chadema.
Sugu amekamatwa pamoja na wanachama wa Wengine wa CHADEMA. Baadhi ya Waliokamatwa ni Stive Mwenyekiti wa BAVICHA Mkoa, Katibu wa mbunge, Kasambala.
Hii imetokeaa bila kujulikana sababu, angalia.
Hapa sasa linahitajika somo la sheria na tafsiri za ”operation of statutory interpretation” it’s a long story na hapa sio shule.We ukienda kupokea mgeni huwa unapata kibali kwanza maana kama ni sheria inabidi ifuatwe hasa au unaroka tu hujuwi sheria. Hivi watu wakienda kupokea wachezaji huwa wanakuwa na kibali cha kufanya nini
Mkuu Wangu Uko SATURATED na CHUSHO la roho loooh Yaani Umekuwa Kama Al Shabaab mercenary 😁😁Mwaka huu mkibeep sie tunapiga. Uonevu sasa baaasi!!!
Ni sheria za kikoloni tu hizo kwani wenzetu hapo jirani tu hawana sheria za kuomba vibali vya kuandamana. Mkoloni wakati wa harakati za kupigia na uhuru aliweka sheria za watu zaidi ya wawili wakionekana ni unlawfu assembly. Tanzania huru tunakuwa kama South Africa kipindi cha apartheid.From reading the law which public assemblies do you think it intended to regulate?
Vitu vingine ni vya kujiongeza wenyewe.
Wamuue nani? Maisha yetu yanathamani kubwa labda tuwauwe wao.Imetosha kwa kweli!! Watuue wote. Enough is enough
Kwani akiteuliwa hawezi kumrithi Ndugai?! Vipi akishindwa, watalazimisha?!Hatishi tu CCM Bali juu zaidi kwa sababu mtia nia ya kugombea Jimbo hilo wa Chama cha CCM ni Mtoto mpendwa wa mpendwa wetu. Vijembe lazima vitakuja ili mgombea ashinde akaendelee na juunga mkono juhudi Bungeni badala ya Ndugai.
From this video you get a different perspective polisi anapoweka mikono yake yote kifuani au kwa nyuma ana ashiria tii kwa amani.
Ukinyanyua yako una ashiria shari kwake na umemruhusu kutumia nguvu. Kwanza unaposhikwa na polisi hakikisha mikono yako anaiona.
Halafu kumbe ukaidi ulianzia getini. Japo lugha ya polisi aikuwa nzuri I think both parties are blameworthy after watching the second video.
Anatafuta nafasi ya SirroHahaha anataka kuwa IGP nini?! Tusubirie vijembe vya Rais Magufuli.
Kumbe Sugu anaitisha CCM kiasihicho?!