Uchaguzi 2020 Mbeya: Joseph Mbilinyi(Sugu) akamatwa na Polisi wakati akichukua fomu ya Uteuzi

Uchaguzi 2020 Mbeya: Joseph Mbilinyi(Sugu) akamatwa na Polisi wakati akichukua fomu ya Uteuzi

Hakuna ubishi kwamba CHADEMA ni targeted, na pia sababu za CHADEMA kuwa targeted ni wazi pia, ni TISHIO! CHADEMA inatisha, na Lisu ni kaa la moto kwenye makoo ya watawala!
 
Majitu ya CCM na policcm wao Ni empty head kabisa ,yaani nchi imetulia mnaanza kuivuruga ,huyo anayewatuma si arudi kwao Rwanda wenyewe wamezoea fujo na mauaji.
 
Lakini hebu tuseme ukweli kwa nini ameenda kuchukua fomu na maandamano wakati hawaruhusiwi? Mbona wangombea urais akiwemo Msaliti Lissu hawakuenda na maandamano?? Ameyataka mwenyewe!
Toa vifungu vya sheria usilopoke
 
Wamkamate wamfunge bila kusomewa mashtaka itapendeza zaidi, ikiwezekana wamuachie baada ya uchaguzi mkuu vinginevyo Tulia hawezi kushinda Mbeya mjini, mimi Mbeya naijua vizuri,hawawezi kuchagua CCM hata wakiwa usingizini. Siasa kweli mchezo wa kijinga.
 
Mzee wangu kipindi namaliza form six miaka hiyo 99,nikamwambia nataka niende depo alikataa kabisa na hajawahi toa sababu mzee yule.
 
Msiwe mnajifanya hamjui na kumbenajua,hawa watu hufanya makusudi kuvunja sheria ili wakibanwa watengeneze story kwenye vyombo vya habari,mi nafikiri kushabikia upinzani huu tulionao ambao awali tuliuamini ni kujipotezea muda tu..kuweni na akili ya kupambanua mambo,hawa kina sugu,Lisu na washirika wao wote ni kundi la kihuni tu hili
Mkuu labda unisaidie sheria iliyo vunjwa pale ili nijue nan ana makosa
 
Kwenda na maandamano kwenda kuchukua fomu mwongozo wa NEC hauruhusu.
Sawa kwani maelezo ya polis yanaemaje

Wanasema walimwita wakampe utaratibu sio kwamba alivunja sheria

Sasa kwa utendaji wenye weredi walipaswa kumpigia simu afike mwenyewe polisi na sio kama walivyo fanya

Na pia hakukuwa na ulazima wa kurekodi tukio ili waonekane wanafanya kazi
 
Yaani hapo ni movi kwa movi unazani lengo Sugu kwenda na waandamanaji ilikuwa nini?

LAZIMA ALITAKA KUCHUKUA MOVI ARUSHE TWITTER HIVYO WAMEMTIME TU LAKIN DHAMIRA YAKE LAZIMA ATIMIZE ILI AUAMINISHE UMMA YEYE NI PREZIDA WA GREEN CITY.
 
Ha ha ha... wamekukinai vilivyo mkuu. Ila kumbuka wanatumwa hao. Watumaji wapo kimyaaa. Juzi kule kwa PM watia nia wa upinzani walitekwa kimya kimya usiku wa manane
Subiri mwaka huu utajua sura sahihi ya mtanzania akichoka
 
Mimi polisi hata awe ndugu yangu wa damu sitakaa
1.Nimchangie harusi
2.Sitakaa niende msiba wa polisi
3.Sitakaa nimzike
4.Sitakaa nimkope hata kama nahakika anakufa mama yake
5.Sitakaa nimpangishe
ANGALIZO: Sitakaa nivunje sheria kwenye kuwadeal ikiwemo kutowatukana ,kutowaua ,japo siwezi kuahidi sitowaombea mabaya
Daah! Tumefika pabaya watz! Hii mbegu ya chuki Kali hivi sikuwahi kuona au kunusa tangu nipate akili. Mungu please please ,tenda muujiza kwa kadiri ya mapenzi yako.
 
Lakini polisi walivyokuwa wamewapa nafasi tangu Tundu Lissu amerudi, mliwasifu sana sasa mnawachokoza tena?

Polisi wanatoa nafasi au Katiba ndio inataka iwe hivyo !?

Ina maana tunaongozwa na utashi wa Polis sio !?
 
Yaani hapo ni movi kwa movi unazani lengo Sugu kwenda na waandamanaji ilikuwa nini?

LAZIMA ALITAKA KUCHUKUA MOVI ARUSHE TWITTER HIVYO WAMEMTIME TU LAKIN DHAMIRA YAKE LAZIMA ATIMIZE ILI AUAMINISHE UMMA YEYE NI PREZIDA WA GREEN CITY.
Hapo nimekwelewa
 
Back
Top Bottom