Mangisandy
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 2,652
- 2,273
Hakuna ubishi kwamba CHADEMA ni targeted, na pia sababu za CHADEMA kuwa targeted ni wazi pia, ni TISHIO! CHADEMA inatisha, na Lisu ni kaa la moto kwenye makoo ya watawala!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toa vifungu vya sheria usilopokeLakini hebu tuseme ukweli kwa nini ameenda kuchukua fomu na maandamano wakati hawaruhusiwi? Mbona wangombea urais akiwemo Msaliti Lissu hawakuenda na maandamano?? Ameyataka mwenyewe!
Ni kosa kwa sheria ipiKwa nini ameenda na maandamano?? Hilo ndiyo kosa lake hayo mengine ni ubuyu tu!
Mbona hawakamatwi hao CHADEMA maana ni wahalifuWaliochoma ofisi huko Arusha ni wahuni wa Chadema hao hao ili kuwadanganya wazungu.
Hii ni hatariTanzania ni ngumu kujua nani mwenye haki ya kusikilizwa
Nani anapaswa amsikilize mwenzake
Chadema mnakaribia kuchukua nchi kazeni hamna kulegeza,Sasa si wafute tu huo uchafuzi (uchaguzi mkuu?) kama hawataki ushindani.
Kwanini alienda na maandamano kuchukua fomu wakati mwongozo wa NEC hauruhusu?? Ajibu hoja aache kulialia
Mkuu labda unisaidie sheria iliyo vunjwa pale ili nijue nan ana makosaMsiwe mnajifanya hamjui na kumbenajua,hawa watu hufanya makusudi kuvunja sheria ili wakibanwa watengeneze story kwenye vyombo vya habari,mi nafikiri kushabikia upinzani huu tulionao ambao awali tuliuamini ni kujipotezea muda tu..kuweni na akili ya kupambanua mambo,hawa kina sugu,Lisu na washirika wao wote ni kundi la kihuni tu hili
Sawa kwani maelezo ya polis yanaemajeKwenda na maandamano kwenda kuchukua fomu mwongozo wa NEC hauruhusu.
Sawa kwani maelezo ya polis yanaemaje
Wanasema walimwita wakampe utaratibu sio kwamba alivunja sheria
Sasa kwa utendaji wenye weredi walipaswa kumpigia simu afike mwenyewe polisi na sio kama walivyo fanya
Na pia hakukuwa na ulazima wa kurekodi tukio ili waonekane wanafanya kazi
Mi siko huru na umoja sitakiDaaah! Huku kwenye kutengana ndiko tunakoelekezwa sasa...
Mungu Ibariki Tanzania, Dumisha Uhuru na Umoja..
Subiri mwaka huu utajua sura sahihi ya mtanzania akichokaHa ha ha... wamekukinai vilivyo mkuu. Ila kumbuka wanatumwa hao. Watumaji wapo kimyaaa. Juzi kule kwa PM watia nia wa upinzani walitekwa kimya kimya usiku wa manane
Kwa hiyo ukifanya uhalifu against yourself kisheria huna kosaSi wamechoma ofisi yao!!
Daah! Tumefika pabaya watz! Hii mbegu ya chuki Kali hivi sikuwahi kuona au kunusa tangu nipate akili. Mungu please please ,tenda muujiza kwa kadiri ya mapenzi yako.Mimi polisi hata awe ndugu yangu wa damu sitakaa
1.Nimchangie harusi
2.Sitakaa niende msiba wa polisi
3.Sitakaa nimzike
4.Sitakaa nimkope hata kama nahakika anakufa mama yake
5.Sitakaa nimpangishe
ANGALIZO: Sitakaa nivunje sheria kwenye kuwadeal ikiwemo kutowatukana ,kutowaua ,japo siwezi kuahidi sitowaombea mabaya
Lakini polisi walivyokuwa wamewapa nafasi tangu Tundu Lissu amerudi, mliwasifu sana sasa mnawachokoza tena?
Hapo nimekwelewaYaani hapo ni movi kwa movi unazani lengo Sugu kwenda na waandamanaji ilikuwa nini?
LAZIMA ALITAKA KUCHUKUA MOVI ARUSHE TWITTER HIVYO WAMEMTIME TU LAKIN DHAMIRA YAKE LAZIMA ATIMIZE ILI AUAMINISHE UMMA YEYE NI PREZIDA WA GREEN CITY.