Mbeya: Kijana wa miaka 34 ajinyonga kisa mgogoro wa familia

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Mgogoro wa kifamilia umefanya kijana huyu kutoka Mbeya kupoteza maisha kwa kufanya maamuzi ya kujinyonga hadi kufa.

Kwakweli mambo mengi ila muda ni mchache. Apumzike
==================
Kijana mmoja aliyetambulika kwa jina la Fred Sanga (34), mkazi wa Mtaa wa Shewa, Kata ya Mwakibete, Mkoa wa Mbeya, amejinyonga hadi kufa kwa kutumia kamba ya manila na kuacha watoto watatu huku chanzo cha kifo hicho kikiwa ni mgogoro wa kifamilia.

Soma Pia: Morogoro: Mwanaume wa miaka 46 ajinyonga kwa kutumia chandarua, alikuwa na changamoto afya ya akili

Kujiua ni ubinafsi uliopotiliza.
 
Jamani msimhukumu mtu hamuwezi jua ni kitu gani alipitia mda mwingine ni rahisi kuongelea kitu kwa sababu hakijakukuta.Kumbukeni it's the same year Askofu Bundala alijinyonga ndugu zangu tusali na kuombea wengine ndio kilicho baki
 
Hakuna chochote kinachoweza ku-justify huu ujinga.
 
Back
Top Bottom