A
Anonymous
Guest
Ujenzi wa Kalavati umetelekezwa, Mkandarasi alianzaje kukata barabara wakati hayuko tayari kujenga? Mamlaka husika TARURA iko wapi? Wananchi tunateseka sana tunaoipita barabara hii kuelekea nyumbani hasa msimu huu wa mvua.
Kalavati hilo lipo jirani kabisa na Kituo cha Radio Ushindi FM. Mamlaka zinazohusika tunaomba kalavati hilo lijengwa haraka ili kuondoa adha hasa msimu huu wa mvua.
Kalavati hilo lipo jirani kabisa na Kituo cha Radio Ushindi FM. Mamlaka zinazohusika tunaomba kalavati hilo lijengwa haraka ili kuondoa adha hasa msimu huu wa mvua.