KERO Mbeya: Kuna usumbufu mkubwa Barabara ya Ilomba - Isyesye - Relini baada ya Mkandarasi kutelekeza mradi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Ujenzi wa Kalavati umetelekezwa, Mkandarasi alianzaje kukata barabara wakati hayuko tayari kujenga? Mamlaka husika TARURA iko wapi? Wananchi tunateseka sana tunaoipita barabara hii kuelekea nyumbani hasa msimu huu wa mvua.

Kalavati hilo lipo jirani kabisa na Kituo cha Radio Ushindi FM. Mamlaka zinazohusika tunaomba kalavati hilo lijengwa haraka ili kuondoa adha hasa msimu huu wa mvua.

 
Vijumba vya mbeya ni takataka yaani uparataaaaa mara elfu kumi iringa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…