Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Misambwanda sura za baba hapo ndo mahala pake.KWA WALE WA PENDA MISWAMBWANDA KWA PISI ZA KINYAKYUSA UNYAMA NI MWINGI MWAISA
Daah mlima loleza nilijaribugi kuupanda nikaishia njianiMlima Loleza niliupanda 2004 hadi kule juu kwenye mnara hivi ni kwa nini kila ukitembea umbali flani kutoka pale Hospital ya rufaa kuukwea mlima kuna misalaba?
Umeongea point kubwa mnoTatizo la Mbeya ni ujenzi wa nyumba za ajabu ajabu na holela...
Mkuu vp uliwahi kuwagegenda na vipi je ni rahisi kutoa mbususu?Huko nilienda mwaka jana,nilikaa kama wiki,mabinti wakule wana mizigo.
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Mbeya ni mkoa mzuri sana kijografia, ukiwa umezungukwa na milima na vilima. Mito na vijito, hali nzuri ya hewa, udongo mzuri wenye rutuba na mambo mengi mazuri.
Watu wa Mbeya ni wakarimu sana, watoaji na wenye upendo, ila ukiwazingua wanakuzingua mara milioni sita zaidi.
Mbeya kuna mandhari ya kuvutia. Kuna vivutio kibao vya utalii, kama kona ya taifa, hii ni bonge ya kona, iko kwenye barabara ya lami itokayo Cape Town Afrika ya Kusini kwenda Cairo Misri kupitia Chunya kwa Masache Kasaka a.k.a Man Kasa mbunge wa Lupa Chunya.
Hii ni picha ya kona ya Taifa, iliyopigwa na Fadhy, Fadhili Mtanga, mpishi anaye andika na kupiga picha.
View attachment 2369893
Kivutio kingine ni ziwa Masoko.
View attachment 2369896
Hili ni ziwa lililoko mlimani, crater lake. Ziwa hili limekaa mithili ya lulu ipatikanayo kwenye samaki aina ya chaza (Oysters). Lulu hiyo kwa Kinyakyusa huitwa pearl.
Mbeya imejaaliwa bwana, pia juna ziwa Kisiba, ziwa la msituni. Ziwa hili liko kwenye msitu asilia, ile misitu inayojulikana kwa jina la rain forest. Hutojuta kabisa kufika mahali hapa.
View attachment 2369898
Kwa wanaopenda kuoanda milima, Mbeya ni mahali sahihi kabisa kwa burudani hiyo. Kuna mlima Loleza, huu ni mlima mzuri sana na rahisi kupanda na wala hauko mbali na mji.
Shule ya sekondari ya wasichana ya Loleza ilipewa jina hili kwababu iko chini ya Mlima Loleza.
Picha hii ilipigwa na Fadhy, Fadhili Mtanga ikionyesha mlima Loleza unavyoonekana ukiwa Mwanjelwa, pale mahali ambapo soko liliungua. Nimepamiss sana home.
View attachment 2369902
Mlima Rungwe, mlima huu una urefu wa meta 2,981. Mlima huu uko wilayani Rungwe. Unakaribishwa sana kutembelea mkoa huu, wenye neema nyingi za kutosha.
Picha mbili zikionesha mandhari tofauti za mlima Rungwe.
View attachment 2369911View attachment 2369914
A point where science vs reality vs norm/ tradition seems to meet[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mlima iwambi, pana mteremko mrefu malori huwa yanafeli breki sasa chakushangaza hili eneo halifanyiwi ukarabati badala yake kila mwaka hawa watu wa mbeya pamoja na makanisa yao mengi huwa wanawaita machifu na wazee wa kimila ili kufanya tambiko.
Sio stori jana tarehe 26 kwanzia asubuhi sa 3 barabara ilifungwa kwa saa 2 kupisha zoezi la tambiko.
Imagine tatizo ni mteremko mkali na ubovu wa magari ndio chanzo cha ajali lakini wenyewe wanafanya tambiko.
Ukuje.....nikutumie nauli now,,, accommodation, tour zote juu yangu[emoji23][emoji23]Beautifully.
Mashetani yake yalikuwa jauHivi Nyerere alikuwa ana nini na watu wanaokula ndizi? Mbona karibu kila sehemu za hao wenyeji kuna kitu aliwatenga?
Acha uboya wewe.... Mbeya tamu aiseee. Ukitaka kuufaidi utamu wa Mbeya uwe unapenda nature, sio ukitoka kazini unaenda baa, ukitoka baa home, ukitoka home job, job bar, bar home.Uwiiiii kidgoo nitoee kilio kikali hkn utamu wowote pale nashangaa sna imekuaje wakapewa jiji
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Buji anawajua watu wote wa mby?bujibuji asante sana kwa huu uzi. nilipouona tu nikamkumbuka yule muhudumu wa kike pisi kali, chocolate skin wa hapo city pub.mpe salamu zangu sana.
dear mbeya you are always in my travelling plans, you are very missed.
View attachment 2370016
Walidanganywa na buji hapa hapa JF na ajali hazijakomaMlima iwambi, pana mteremko mrefu malori huwa yanafeli breki sasa chakushangaza hili eneo halifanyiwi ukarabati badala yake kila mwaka hawa watu wa mbeya pamoja na makanisa yao mengi huwa wanawaita machifu na wazee wa kimila ili kufanya tambiko.
Sio stori jana tarehe 26 kwanzia asubuhi sa 3 barabara ilifungwa kwa saa 2 kupisha zoezi la tambiko.
Imagine tatizo ni mteremko mkali na ubovu wa magari ndio chanzo cha ajali lakini wenyewe wanafanya tambiko.