profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,595
- 3,416
umechanganya na moshi labda,,,,mbeya kila baada ya nyumba 10 kanisa la walokole,hapa tanzania asilimia kubwa ya viongozi wa makanisa makubwa na madogo,na waimbaji wa gospo ni watu wa mbeya..Majambazi nishasema! Njooni mnipige🏃🏃