Mbeya kutamu bwana, usisikie habari za mtandaoni

Mbeya kutamu bwana, usisikie habari za mtandaoni

Hivi Nyerere alikuwa ana nini na watu wanaokula ndizi? Mbona karibu kila sehemu za hao wenyeji kuna kitu aliwatenga?
Nyerere alikuwa hapendi watu wenye akili,alitaka aabudiwe yeye tu. Maeneo ya wala ndizi ndo wasomi wakubwa nchi hii.
 
Pia ndio mkoa ambao barabara ya lami iko juu zaidi kwa usawa wa bahari
IMG_20220519_174741.jpg
 
umesahau matema beach,samaki mbasa na mbelele,na kijito flani huko ileje cjui,ukikiruka kinapanuka unazama,na ndo kwaheri,,,maji moto kilambo nk
Ndenyelite .....wanasema ukitaka kuruka .lazma utoe chochote kitu..kia expand
 
Sisi waafrika sjui tumelogwa wapi.. kwahiyo haya maombi yanapaswa kwenda kwenye magari na kuzuia breki zisifeli, au yanapaswa kuupunguza mteremko mkali uwe tambarare.
Mwanafilosofi mmoja alishasema "big problems happening when we fail to solve small problem"
Na pia badala ya kutatua tatizo sisi tunatafuta njia mbadala ya kulikwepa tatizo. Hapo ndipo tunapofeli sana.
Hahaha hahaha
 
Mfa maji haachi kutangatanga. Wameona serikali haiko serious kutatua tabu yao wakaamua kupita njia ya mkato. Always shortcut is a very difficult way, more than you can imagine
 
Back
Top Bottom