Mbeya kutamu bwana, usisikie habari za mtandaoni

Mlima iwambi, pana mteremko mrefu malori huwa yanafeli breki sasa chakushangaza hili eneo halifanyiwi ukarabati badala yake kila mwaka hawa watu wa mbeya pamoja na makanisa yao mengi huwa wanawaita machifu na wazee wa kimila ili kufanya tambiko.
Sio stori jana tarehe 26 kwanzia asubuhi sa 3 barabara ilifungwa kwa saa 2 kupisha zoezi la tambiko.
Imagine tatizo ni mteremko mkali na ubovu wa magari ndio chanzo cha ajali lakini wenyewe wanafanya tambiko.
 
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
A point where science vs reality vs norm/ tradition seems to meet[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
bujibuji asante sana kwa huu uzi. nilipouona tu nikamkumbuka yule muhudumu wa kike pisi kali, chocolate skin wa hapo city pub.mpe salamu zangu sana.

dear mbeya you are always in my traveling plans, you are very missed.
 
Walidanganywa na buji hapa hapa JF na ajali hazijakoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…