Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
- #161
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko walishashindwa kujenga hata stendi za mabasiTop 6 yangu
1 Mwanza and Dar
2 Morogoro, Geita and Mbeya
3 Pwani yote
[emoji1428]kaskazini hapana kwakweli, narudia tena hapana kwakweli[emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777] labda only TANGA.
Huko walishashindwa kujenga hata stendi za mabasi
Hakutaka brainstarHivi Nyerere alikuwa ana nini na watu wanaokula ndizi? Mbona karibu kila sehemu za hao wenyeji kuna kitu aliwatenga?
Nimebongeka wapi?Kumbe Bujibuji Simba Nyamaume wewe ni kibonge 😃
Mbeya na Tanga are the best cities after Dar and Mwanza
1 Dar
2 Mwanza
3 Mbeya
4 Tanga
5 Arusha/Moro japo ni mkoa
6 Dom/Iringa japo ni mkoa/Moshi
Nimebongeka wapi?
AsanteSi ni wewe umeegemea chuma icho mzee baba! Hongera sana kumiliki motor car😃