Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hand bag yako nzuri [emoji846][emoji846]Nimetua Leo.
Hapa ni Mwanjelwa Mbeya, Tumogheleee
Jiji limetulia,Jiji lililobarikiwa
Wengi waliokuwa na akili hakupenda kuwatumia wala kuwaweka karibu na kusababisha mambo mengi kukwama.Alikuwa muoga tu naye.
Angemtumia Kambona tusingekuwa hapa.
Mzee katurudisha nyuma sana lakini kwa ujinga wa kibongo hili hawalielewi
njoo😁Niite kwenu niko tayari kuja sasa😂
Thank you 🥰Hand bag yako nzuri [emoji846][emoji846]
Naona mwanetu umekomaa na mbususuMkuu vp uliwahi kuwagegenda na vipi je ni rahisi kutoa mbususu?
tanzania nzima hakukuwa na uwanja bora wa basketball kama ule...Naikumbuka ile indoor, nasikia imevunjwa. Kweli CCM hawapendi vitu vizuri
Hakikatanzania nzima hakukuwa na uwanja bora wa basketball kama ule...
Nchi inaongozwa na viongozi wenye chukiNyerere ameondoka madakani 1985 zaidi ya miaka 37 iliyopita. Siamini kama bado ana mchango wa kuwa na maendeleo duni. Kumepita awamu zaidi ya nne za utawala baada yake. Haya madini tunayohangaika nayo Sasa alijiweka mbali nayo, tena kwa sababu nzuri tu. Sina wataalam wa kufanya hii biashara. Sasa mmekuja wataalam mliosubiriwa ndo imekuwa shida tupu. Yako maeneo hakufanya vizuri kweli,naye alikiri. Lakini tawala zilizofuata baada yake wameharibu zaidi. Mfano kama hiyo chuki dhidi ya mkoa imechangiwa na misimamo ya kisiasa ya wakazi wa mkoa huo. Na ilipamba moto sana kuanzia 1995, uchaguzi wa kwanza kwa mfumo wa vyama vingi, mbeya walianza na mbunge wa nccr. Nakumbuka walionywa sana na huo uamuzi na kwa tabia yao hawakimsikia mtu. Tumesikia wenyewe hata uchaguzi wa 2020, ulitolewa mfano wa gunzi na betri. Na wapinzani walifananishwa na gunzi. Mkoa wa mbeya unavyo vyanzo vingi vya maji mwaka mzima, lakini kuna kubwa ya maji ya makusudi tu, eti kukomoana.
No doubtNaam, mkuu Buji, no doubt about it!
Kuitwe kijiji?Mbeya ni Home ila Nakiri hakufai kuitwa jiji