emmanuel mruma
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,778
- 1,718
Lakini mbna naona anaisemea sana mbeya bungeni, maana navojua serikali ndio inayopeleka maendeleo kazi ya mbunge nikupiga kelele tu serikali imsikieMiaka 10 ya SUGU kafanya nini Mbeya zaidi ya kujineemesha binafsi? Show off mitandaoni. Huku Wapiga kura wamezungukwa na umaskini wa kutupa
Atuambie Sugu amerudishaje nyuma maendeleoBrother Mbeya kabla ya Sugu kuwa mbunge mlikuwa na maendeleo gani na hao wasomi feki wako?
Karibu.
Ni Tz pekee ambapo tunaamini mbunge peke yake ndio huleta maendeleo.Miaka 10 ya SUGU kafanya nini Mbeya zaidi ya kujineemesha binafsi? Show off mitandaoni. Huku Wapiga kura wamezungukwa na umaskini wa kutupa
Hivi kuna uhusiano wowote Kkati ya Mbeya na Kagera?Mnataka mbunge atakae kuwa tayari kuwapigania au ambae atafanya mtembee kifua mbele kutokana na usomi wake?
Amandla......
Acha mbwembwe mwana CCM mwenzangu, twende tukachukue form ya Urais nasikia wameshazichapisha zingine.....maana mwanzoni ilikuwa moja tu.Kwa Sasa tunahitaji Mbunge Msomi wa kutuletea maendeleo jimboni. Vurugu, maandamano na kufokafoka si maendeleo.
Kila la heri watia nia.
Lissu atagombea akiwa ubelgiji? Zoom (online)?acha mbwembwe mwana CCM mwenzangu, twende tukachukue form ya Urais nasikia wameshazichapisha zingine.....maana mwanzoni ilikuwa moja tu.
Achana na mambo ya Lissu, sisi twende tukachukue form mzee wangu, zimeshachapishwa zingine jana.Lissu atagombea akiwa ubelgiji? Zoom (online)?
Lissu kiukweli ametushangaza Wana Ufipa. Unatangaza Nia ya kugombea uraisi wa Jamhuri ya Muungano wakati upo Brussels. Sasa tutakuaminije?Achana na mambo ya Lissu, sisi twende tukachukue form mzee wangu, zimeshachapishwa zingine jana.
Hata hatapita maana mbeya si watoto kwamba umpige halafu umsahaulishe kwa pipi,mafisiem maharam sana!Okay. Ni wakati Sasa Sugu apishe ili Mbeya ifaidi maendeleo
Atupeleki maendeleo majimbo ya wapinzani.Kwa Sasa tunahitaji Mbunge Msomi wa kutuletea maendeleo jimboni. Vurugu, maandamano na kufokafoka si maendeleo.
Kila la heri watia nia.
Safari hii asubiri kipigo cha paka mwizi 2020. utanikumbusha baada ya tendo..Sugu aliingia bungeni 2010 bfore upepo wa lowasa....na 2015 angapita hata bila upepo wa lowasa.
Very trueKwa Sasa tunahitaji Mbunge Msomi wa kutuletea maendeleo jimboni. Vurugu, maandamano na kufokafoka si maendeleo.
Kila la heri watia nia.
Hata sisi wanachama tunamshangaa mwenzetu huyu. Bora nimpigie kura Dr. TA (PhD)Miaka 10 ya SUGU kafanya nini Mbeya zaidi ya kujineemesha binafsi? Show off mitandaoni. Huku Wapiga kura wamezungukwa na umaskini wa kutupa