Uchaguzi 2020 Mbeya (M) tunataka Mbunge Msomi

Uchaguzi 2020 Mbeya (M) tunataka Mbunge Msomi

Miaka 10 ya SUGU kafanya nini Mbeya zaidi ya kujineemesha binafsi? Show off mitandaoni. Huku Wapiga kura wamezungukwa na umaskini wa kutupa
Lakini mbna naona anaisemea sana mbeya bungeni, maana navojua serikali ndio inayopeleka maendeleo kazi ya mbunge nikupiga kelele tu serikali imsikie
 
Miaka 10 ya SUGU kafanya nini Mbeya zaidi ya kujineemesha binafsi? Show off mitandaoni. Huku Wapiga kura wamezungukwa na umaskini wa kutupa
Ni Tz pekee ambapo tunaamini mbunge peke yake ndio huleta maendeleo.

Swali walio chaguliwa 2015 nafasi ya ubunge ni Sugu, Rais ni Magufuli na diwani wako simjui.
Sasa niambie hao wengine wamefanya nn mpaka uwachague tena kwa hapa Mby
 
Kwa Sasa tunahitaji Mbunge Msomi wa kutuletea maendeleo jimboni. Vurugu, maandamano na kufokafoka si maendeleo.

Kila la heri watia nia.
Acha mbwembwe mwana CCM mwenzangu, twende tukachukue form ya Urais nasikia wameshazichapisha zingine.....maana mwanzoni ilikuwa moja tu.
 
acha mbwembwe mwana CCM mwenzangu, twende tukachukue form ya Urais nasikia wameshazichapisha zingine.....maana mwanzoni ilikuwa moja tu.
Lissu atagombea akiwa ubelgiji? Zoom (online)?
 
Achana na mambo ya Lissu, sisi twende tukachukue form mzee wangu, zimeshachapishwa zingine jana.
Lissu kiukweli ametushangaza Wana Ufipa. Unatangaza Nia ya kugombea uraisi wa Jamhuri ya Muungano wakati upo Brussels. Sasa tutakuaminije?
 
Bora Mwenyekiti Ayatollah ajiuzulu tu. Chama kinakosa mvuto wanachama tunadhalilika tunakosa point za kutetea chama. Pamoja na Ruzuku ya Mabilion na Michango toka viti maalyumu
 
Kwahiyo siku Mbeya ikiendelea hatahitaji mbunge tena? Hii dhana ya mbunge kuleta maendeleo ndio mtaji wa siasa uchwara.

Sugu ameikuta Mbeya hivyo ilivyo tangu Uhuru, leo mnambebesha mzigo eti hajaleta maendeleo.

Mimi naishi kwenye jimbo ambalo halijawahi kuwa chini ya mpinzani na sioni maendeleo yoyote na wala siwezi kumlaumu mbunge wa CCM kwa kutokuleta hayo maendeleo kwa kuwa najua sio kazi yake na hana huo uwezo wa kuleta maendeleo.
 
Ukifuatilia kwenye majimbo ambayo yanaongozwa na Wasomi tena wa PHD hali haitofutian na ile iliyoko kwenye majimbo yanayoongozwa na wasiosoma!
 
Huu mwandiko wa mleta uzi na jinsi anavyojibu hoja na mara nyingine anahama kwenye hoja yake anaenda kumwongelea Lissu nahisi ni mtu yule yule ambaye ni "Bia Yetu" au "Kawe ............"

Sitaki kuamini MATAGA wote wanaakili na mitazamo inayofanana

Ni vigumu sana kwao kujibu hoja kwa hoja au kuuliza powerful questions, nikusifia tu na mihemko isiyokuwa na tija.!
 
Miaka 10 ya SUGU kafanya nini Mbeya zaidi ya kujineemesha binafsi? Show off mitandaoni. Huku Wapiga kura wamezungukwa na umaskini wa kutupa
Hata sisi wanachama tunamshangaa mwenzetu huyu. Bora nimpigie kura Dr. TA (PhD)
 
Pale Mbeya kuna tatizo sana wakati Wa chaguzi. Kabla ya Sugu, waliendekeza Ukabila, wakachagua watu wasio na uwezo.

Walipoacha ukabila, wakaingiza siasa.

Sasa hivi uamuzi ni wao, kuchagua siasa au kuchagua maendeleo. Maamuzi ni yao.
 
Back
Top Bottom