Uchaguzi 2020 Mbeya (M) tunataka Mbunge Msomi

Uchaguzi 2020 Mbeya (M) tunataka Mbunge Msomi

Kwa Sasa tunahitaji Mbunge Msomi wa kutuletea maendeleo jimboni. Vurugu, maandamano na kufokafoka si maendeleo.

Kila la heri watia nia.
Mnataka kutoka kwa nani?
 
Kwahiyo ataacha nafasi yake ya unaibu spika aende kuomba nafasi ya sipika? Akienda kugombea asubiri kukosa kote tutamkata abaki kuwa mbunge.
 
Kwahiyo ataacha nafasi yake ya unaibu spika aende kuomba nafasi ya sipika? Akienda kugombea asubiri kukosa kote tutamkata abaki kuwa mbunge.
Acha Makasiriko Mpiga Kura wa Kongwa. Tunasimama na Wakili Msomi Dr Tulia Ackson (LLD) (MB).
 
Back
Top Bottom