Mbeya: Mahakama imeahirisha kusoma hukumu ya Mdude Nyagali hadi Juni 28, 2021

Nasema hivi, kama dhalimu alijua Mdude anauza unga, kwanini aliagiza atekwe kwanza badala ya kumpeleka mahakamani?
Una uhakika dhalimu wako ndio alimteka?

Mdude ndio huyo yupomahakamani kwa hiyo kama ana hatia mahakama itaamua
 
Kwa hiyo hukumu imeshatoka?
Kushindwa kwa Hakimu kusoma hukumu ni dhahiri kuna mtu mwema ameingilia kati. Labda ni Mungu tulie mshirikisha au Mamlaka ya juu.
Hiyo tu ni ushindi kuliko ushindi wenyewe wa tarehe 28.
 
Kushindwa kwa Hakimu kusoma hukumu ni dhahiri kuna mtu mwema ameingilia kati. Ether Mungu tulie mshirikisha au Mamlaka ya juu.
Hiyo tu ni ushindi kuliko ushindi wenyewe wa tarehe 28.
Mungu siyo optional..
 
Behold! The ruling is coming from the top heavens.
 
Yule hakuwa kiongozi maana alikuwa zaidi ya shetani kabisa
 
Daaa huyu kiboko sanaaa walimtesa sanaa....kumlawiti pia aliporudi akaendelea vile vile
 
Usimjibu huyu
 
Hili jamaa bwana,thread zake zote ni kama jitu ambalo halijakanyaga darasa kabisa. Kwa hiyo ulitaka wafanyeje, wakavamie gereza? Hii ni thread ya tatu au ya nne kuhusu suala hilihili. Kama umeajiliwa kuwa uvccm mtandao hakika unalipwa pesa ya bure.
 
Alitumika na alitoswa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…