Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Kafukuwe kwa KATILI uingie na weweUsimfananishe Mandela na vitu vya hovyo hovyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kafukuwe kwa KATILI uingie na weweUsimfananishe Mandela na vitu vya hovyo hovyo
Hayo matusi ndio yalifanya adakwe na ngada baada ya vyombo vya usalama kuanza kumfuatilia.Mkuu unaishi nje ya nchi? Charges za matusi ziliondolewa ndiyo akapewa bambiko la dawa za kulevya.
Mungu wangu ninae muabudu hawezi kuwa jehanamu maana Dunia na vyote ni mali yakeMungu wenu huko Jehanamu ya moto wa milele
Ndio mdude ataachiwa huru?Kafukuwe kwa KATILI uingie na wewe
Alikuwa amempiga mvua chache, jana usiku kaona kipengele fulani kinamtaka ampige mvua za kutosha kuendana na kifungu!
Hapana, bali utakuwa umeonyesha uzalendo wako kwa dhalimuNdio mdude ataachiwa huru?
Huna ulijualo kuhusu hiyo kesi zaidi ya kuwa brain washed na mwendamahoka! Ataachiwa tu ili nione kama bado utaendelea kuwa mfuasi wa mtesi yule!Hayo matusi ndio yalifanya adakwe na ngada baada ya vyombo vya usalama kuanza kumfuatilia.
Ukitaka kuanza kupambana na selilai hakikisha uko clean kwanza
Muwe mnafatilia mambo, karejee misukosuko yake ya 2017, ameshatekwa mara kadhaa, kuteswa na kutupwa na akaokotwa wa wanakijiji akiwa na majeraha. This time awali mlimkamata kwa kutoa lugha chafu, mkaona hamna namna nzuri ya kufanikisha uharamia wenu, ghafla mkampa shitaka la uhujumu uchumi nalo ghafla mkaliondoa. Ghafla mkaweka charge sheet biashara za dawa za kulevya.Hayo matusi ndio yalifanya adakwe na ngada baada ya vyombo vya usalama kuanza kumfuatilia.
Ukitaka kuanza kupambana na selilai hakikisha uko clean kwanza
hovyoooo usituchoshe we mbwiga...Sasa hivi nipo ndani ya treni inatoka mjini kwenda Fella bure kwenda na kurudi. Tunaenda kuzindua na Mama SGR Awamu ya Tano! Viva JPM Viva!!!
Nyumba ndogo ya Mbowe iliyotelekezwa bado Ina machungu ya kuachwa! Huyo Mbowe unambebeaga begi la mihadarati? Unaropoka kwa usiyoyajua baada ya mwendakuzimu kuhamishiwa ubongo wako kwenye kinyeo! Na bado, utaendelea kutumia na Mbowe hadi ufukiwe na hakuna kitu utamfanya! Kamuone hawara wako sabaya magereza!Hiyo mimba uliyodungwa na mwendazake itakutoa roho kwa siku lazima umtaje mara 62!
Mdude alikamatwa na cocaine za mbowe akizisambaza mikoa ya nyanda za juu kusini
Sasa Dhalimu si kafa?Hamna kitu hapo, kesi ya madawa ya kulevya ikibainika pasi na shaka, adhabu yake ni miaka 30 jela. Huyo hakimu anajua kabisa ni kesi ya kubambikiwa, na yalikuwa ni maagizo ya dhalimu aliyeko motoni. Sasa hapo anaenda kumuuliza rais anataka hukumu iweje! Hatuna mahakama tena kwa sasa, bali majengo ya mahakama yanayosimamiwa na Makada wa ccm.
Basi makofi tafadhaliHapana, bali utakuwa umeonyesha uzalendo wako kwa dhalimu
Shetani wenu ndio katiwa adabu na Mungu.Lazima mahakama imfundishe adabu huyu
Mungu siyo Amsterdam au LissuShetani wenu ndio katiwa adabu na Mungu.
Kila mtu ataozea kaburini hata siku zako za kuozea zinasogea kila kukicha usiongee Kama kifo hakikuhusuAliyeagiza Mdude afungwe yeye anaoza kaburini, anaweza kufungwa kimwili lakini hawezi kufungwa mawazo yake
Wapiga ramli hawa ni kama wachawi. Unawezaje kufurahia hiliLazima mahakama imfundishe adabu huyu
una ushahidiAsulubiwe!! Asulubiwe !! Anauza ngada anajificha kwenye mwamvuli wa siasa
Misukosuko ya wapinzani (watu wenye hoja kinzani) haijaanza kwa Mdude, hata Gwajima aliambiwa anatumia na kuuza kabisa!Dhalimu wako hakumtuma mdude awe anatukana hovyo na kuuza ngada