Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mtumishi wa umma hapa namuona amesafiri kwenda mbeya kwa ajili ya kesi...
Lazima mahakama imfundishe adabu huyuAnaenda kubadilisha uhukumu maana ya mwanzo ilikuwa Mdude afungwe maisha gerezani lakini sasa ameona upepo siyo mzuri
Ila yule mtu dah!!! Mungu anatupenda kwakweli.View attachment 1818317
Baada ya kutekwa na kuteswa HOI alipatikana katika hali hii.
Alaaniwe vikali alimfanya mdude kuwa na tambia mbaya kiasi kileAlaaniwe Vikali aliye asisi Mateso Makali kwa Mdude Nyangali
Majitu makatili sana Mungu sema neno lingine .....watu watie adabu
Atapunguziwa adhabu na kula mvua ya miaka 5 au 2Ndiyo ukweli huo
Aliyeagiza Mdude afungwe yeye anaoza kaburini, anaweza kufungwa kimwili lakini hawezi kufungwa mawazo yakeLazima mahakama imfundishe adabu huyu
[emoji120] amenMungu wa Mbinguni ikiwa uliweza kumtoa Petro katikati ya gereza tena chumba Cha ndani Kama maandiko yesamavyo, na ikiwa ulimponya Daniel na Simba wenye njaa Kali ukawafunga vichwa vyao, na pale alipokuomba Joshua jua lisimame na ukafanya hivyo.
Naamini hujabadilika kamwe wewe na mwanzo tena mwisho, asubuhi ya leo najitakaza kwa ajili ya Taifa langu Tanzania, najitakasa kwa ajili ya Rais wangu Samia Suluhu Hassani,
Natubu kwa ajili ya jaji Mkuu wa Tanzania, natubu kwa ajili ya majaji wa mahakama kuu ya Mbeya pamoja na jaji atakaehukumu kesi ya mtumwa wako Mdude, Natubu pia kwa ajili ya Mdude.
Najua kila mwanadamu ana mapungu yake na kamwe anakuudhi na kukukosea, inuka eeh Bwana kwenye kiti Cha enzi geuza uso wako ukamwangalie mtoto wako Mdude Leo hii mahakani, simama Mungu wa Ibrahimu, Isack na Yakobo tazama wanao wote waliokusanyika mahamani wakisuburi hukumu watie nguvu wape uvumilivu na huruma pia wape, kafanye Jambo ambalo litaacha midomo ya watu ikiwa wazi ukimtetea waziwazi mtumushi wako Mdude.
Kwa jina la Yesu Kristo wanazareti Naomba nikiamini hivyo ameeni
Wewe ni nani?Atapunguziwa adhabu na kula mvua ya miaka 5 au 2
Mimi ni mtuWewe ni nani?
Hata mdude akishatumikia adhabu yake kuna siku atakuja kuoza chini ya ardhi.Aliyeagiza Mdude afungwe yeye anaoza kaburini, anaweza kufungwa kimwili lakini hawezi kufungwa mawazo yake
Hizo mvua unazomuombea mwenzako zimnyeshee ilihali wewe huzitaki zikunyeshee Kuna siku zitakugeuka na zikuletee gharika! Siku zako za kunyeshewa na mvua ya mawe zipo karibu mno so amua moja utubu au ulete kiburi na kushupaza shingo yakukute!Kwani bado hajala mvua tyu
Kwani akishtakiwa kwa MATUSI....Hata mdude akishatumikia adhabu yake kuna siku atakuja kuoza chini ya ardhi.
Mawazo yake ya kimatusi yanadumu kwa wajinga tu
Ndio pamoja na cocain.Kwani akishtakiwa kwa MATUSI....
Mkuu unaishi nje ya nchi? Charges za matusi ziliondolewa ndiyo akapewa bambiko la dawa za kulevya.Ndio pamoja na cocain.
Kwanza alianza kutukana, watu wakamlia rada kwamba ni nani huyu hasa anatukana viongozi hovyo? Kumfuatilia kumbe anauza ngada!
Mungu wenu huko Jehanamu ya moto wa mileleAlaaniwe vikali alimfanya mdude kuwa na tambia mbaya