Mbeya: Mahakama imeahirisha kusoma hukumu ya Mdude Nyagali hadi Juni 28, 2021

Mbeya: Mahakama imeahirisha kusoma hukumu ya Mdude Nyagali hadi Juni 28, 2021

Alikuwa amempiga mvua chache, jana usiku kaona kipengele fulani kinamtaka ampige mvua za kutosha kuendana na kifungu!
 
Mungu wa Mbinguni ikiwa uliweza kumtoa Petro katikati ya gereza tena chumba Cha ndani Kama maandiko yesamavyo, na ikiwa ulimponya Daniel na Simba wenye njaa Kali ukawafunga vichwa vyao, na pale alipokuomba Joshua jua lisimame na ukafanya hivyo.

Naamini hujabadilika kamwe wewe na mwanzo tena mwisho, asubuhi ya leo najitakaza kwa ajili ya Taifa langu Tanzania, najitakasa kwa ajili ya Rais wangu Samia Suluhu Hassani,
Natubu kwa ajili ya jaji Mkuu wa Tanzania, natubu kwa ajili ya majaji wa mahakama kuu ya Mbeya pamoja na jaji atakaehukumu kesi ya mtumwa wako Mdude, Natubu pia kwa ajili ya Mdude.

Najua kila mwanadamu ana mapungu yake na kamwe anakuudhi na kukukosea, inuka eeh Bwana kwenye kiti Cha enzi geuza uso wako ukamwangalie mtoto wako Mdude Leo hii mahakani, simama Mungu wa Ibrahimu, Isack na Yakobo tazama wanao wote waliokusanyika mahamani wakisuburi hukumu watie nguvu wape uvumilivu na huruma pia wape, kafanye Jambo ambalo litaacha midomo ya watu ikiwa wazi ukimtetea waziwazi mtumushi wako Mdude.

Kwa jina la Yesu Kristo wanazareti Naomba nikiamini hivyo ameeni
Mkuu umetisha sn ameni kubwa
 
Anaenda kubadilisha uhukumu maana ya mwanzo ilikuwa Mdude afungwe maisha gerezani lakini sasa ameona upepo siyo mzuri
Yaani hiki ndio nilichokiona tangu mwanzo. ispokuwa mahakama ilikuwa itende haki lkn haki yenyewe inaonekana haina mashiko ila kiukweli leo hukumu ingepita MDUDE ALIKUWA ANAKULA MVUA MIAKA 30.
Wanaenda kubadilisha
 
Yaani hiki ndio nilichokiona tangu mwanzo. ispokuwa mahakama ilikuwa itende haki lkn haki yenyewe inaonekana haina mashiko ila kiukweli leo hukumu ingepita MDUDE ALIKUWA ANAKULA MVUA MIAKA 30.
Wanaenda kubadilisha
Ndiyo ukweli huo
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Kwa muda huu saa10:30 asubuhi msafara wa mwenyekiti wa Chadema Freeman mbowe umewasili hapa katika viwanja vya Mahakama Kuu Mbeya kusikiliza hukumu ya mwanachama wao Mdude, ambaye alishitakiwa kwa makosa ya madawa ya kulevya, uhujumu uchumi nk

Wafuasi wa Chadema wamewasili hapa tangu saa 2 asubuhi na kukaa makundi makundi

Lakini mshitakiwa Mdude amewasili hapa katika viwanja vya mahakama mnamo saa tatu 3 akiwa chini ya ulinzi mkali na aliingizwa mahakamani na kupumzishwa kwenye chumba maalum akisubiri kesi yake kuitwa hizi ni picha.

Hizi ni picha za hali halisi mahakani hapa hapa.

View attachment 1818319
View attachment 1818320
View attachment 1818325
View attachment 1818331
View attachment 1818334

View attachment 1818347

View attachment 1818350

View attachment 1818351
Hizo picha za tatu chini ni fikirishi sana. Mwisho wa siku Acheni Mungu Aitwe Mungu!!
 
Mungu simama na vijana na watoto wetu wa mitaani walioathirikia na madawa ya kulevya.Wale wote waliohusika kwa namna moja ama nyingine mkono wa hukumu uwafikie na wale wote wanaoingiza siasa katika masuala haya ambayo si ya kisiasa waumbuke na wahusika wote wanaotetea madawa ya kulevya waumbuke!
 
Back
Top Bottom