Mbeya: Mahakama Kuu yatoa baraka Uwekezaji wa DP WORLD Dubai Bandarini. Walalamikaji wajipanga kukata Rufaa ya Hukumu

Hizo ambazo Leo zimefanyiwa mapinduzi ya Kijeshi
nao ulikuwa ni utalawa kama huu ambao wananchi wao na wazalendo waliona kuwa kuna watu wanaofikiria kuwa wana hati miliki na hizo nchi!

Hata sisi kama taifa kuna haja sasa jeshi hasa wa ngazi za chini kujitoa kulikomboa taifa coz huenda viongozi wa Juu wamejawa kiburi kwa sababu wanajua kuwa viongozi wa kubwa wa Jeshi wapo upande wao!

Vinginevyo nchi inaingia kwenye machafuko kwa sababu kama hizi za dharau!
 
Nimeipitia hukumu ya High Court iliyotolewa Mbeya, niwazi mawakili walio wakilisha wananchi wameshinda kesi lakini Mahakama imeshindwa kutoa hukumu yake kuwapa ushindi Adv. Mwambakuzi na wenzake kwani mahakama imeeleza wazi kuwa Bunge nalo ni mhimili unaojitegemea hivyo hawawezi kutengua maamuzi yake.
AJABU SANA, mbona serikali nayo ni mhimili lakini maamuzi yake ya hovyo yanaweza kupingwa na mahakama?
Hapa inaonyesha wazi na majaji wametamka hivyo makusudi kama kufahamisha umma kuwa kuna shinikizo lililo waamuru kuamua hivyo.
Hakika
 
Bandari za Tanganyika zitatafutwa kwa njia zote mpaka zirudi mikononi mwa wamiliki halali, hizo taasisi zisizojitambua haziwezi kubadilisha maamuzi ya watanganyika.
Watanganyika watakua wapumbavu sana endapo watarushusu wasomi Wa ajabu kutokea ughaibuni kuja kuchota pesa kwenye ajira za watoto wao Kwa sababu ya uhuni Wa siasa za CCM kudhani kuwa wanawakomoa wanaharakati .

Ni aibu Malaki ya Watoto Wa kitanzania kukosa ajira Bandarini, airport,kwenye misitu na Maeneo mengi ya Ardhi Yao Kutawaliwa na Waarabu na Wazungu Karne hii ambayo Hata siasa Bado hazina usawa .
 
Hizo ambazo Leo zimefanyiwa mapinduzi ya Kijeshi
nao ulikuwa ni utalawa kama huu ambao wananchi wao na wazalendo waliona kuwa kuna watu wanaofikiria kuwa wana hati miliki na hizo nchi!

Hata sisi kama taifa kuna haja sasa jeshi hasa wa ngazi za chini kujitoa kulikomboa taifa coz huenda viongozi wa Juu wamejawa kiburi kwa sababu wanajua kuwa viongozi wa kubwa wa Jeshi wapo upande wao!

Vinginevyo nchi inaingia kwenye machafuko kwa sababu kama hizi za dharau!
Mawazo mazuri sana, piga namba hizi uongee na vijana wenzako: Phone : +255687840591

Harakisha. Tunahitaji vijana wenye moyo kama wako.
 
Nimeipitia hukumu ya High Court iliyotolewa Mbeya, niwazi mawakili walio wakilisha wananchi wameshinda kesi lakini Mahakama imeshindwa kutoa hukumu yake kuwapa ushindi Adv. Mwambakuzi na wenzake kwani mahakama imeeleza wazi kuwa Bunge nalo ni mhimili unaojitegemea hivyo hawawezi kutengua maamuzi yake.
AJABU SANA, mbona serikali nayo ni mhimili lakini maamuzi yake ya hovyo yanaweza kupingwa na mahakama?
Hapa inaonyesha wazi na majaji wametamka hivyo makusudi kama kufahamisha umma kuwa kuna shinikizo lililo waamuru kuamua hivyo.
Bila katiba mpya ni ngumu kupata haki
 
Hizo ambazo Leo zimefanyiwa mapinduzi ya Kijeshi
nao ulikuwa ni utalawa kama huu ambao wananchi wao na wazalendo waliona kuwa kuna watu wanaofikiria kuwa wana hati miliki na hizo nchi!

Hata sisi kama taifa kuna haja sasa jeshi hasa wa ngazi za chini kujitoa kulikomboa taifa coz huenda viongozi wa Juu wamejawa kiburi kwa sababu wanajua kuwa viongozi wa kubwa wa Jeshi wapo upande wao!

Vinginevyo nchi inaingia kwenye machafuko kwa sababu kama hizi za dharau!
Jeshi liwasikilize wajinga nyie ambao hamna hoja yeyote jeshi la wapi hilo?
 
Watanganyika watakua wapumbavu sana endapo watarushusu wasomi Wa ajabu kutokea ughaibuni kuja kuchota pesa kwenye ajira za watoto wao Kwa sababu ya uhuni Wa siasa za CCM kudhani kuwa wanawakomoa wanaharakati .

Ni aibu Malaki ya Watoto Wa kitanzania kukosa ajira Bandarini, airport,kwenye misitu na Maeneo mengi ya Ardhi Yao Kutawaliwa na Waarabu na Wazungu Karne hii ambayo Hata siasa Bado hazina usawa .
Bora waje wageni sababu ngozi nyeusi hata asome vipi akili zetu ziko chini kama kibatali
 
Jaji Warioba Chadema? Shivji Chadema? TLS Chadema? Hawa majaji kichekesho, wanasema mkataba umekiuka sheria ya manunuzi, sheria ya maliasili za nchi lakini hiyo haiwezi kubatilisha mkataba!
Sasa tutegemee nini?
Alie wapa huo ulaji ndie wana takiwa wamsulu u, wata thubutu kweli?
Ccm ni kansa ila iko siku!!! Hata wana wa Israel waliteseka sana lakini wakati wa bwana ulipo wadaia hata mfalme Herode hakuamini macho yake..
 
Watanganyika watakua wapumbavu sana endapo watarushusu wasomi Wa ajabu kutokea ughaibuni kuja kuchota pesa kwenye ajira za watoto wao Kwa sababu ya uhuni Wa siasa za CCM kudhani kuwa wanawakomoa wanaharakati .

Ni aibu Malaki ya Watoto Wa kitanzania kukosa ajira Bandarini, airport,kwenye misitu na Maeneo mengi ya Ardhi Yao Kutawaliwa na Waarabu na Wazungu Karne hii ambayo Hata siasa Bado hazina usawa .
Umesema kweli. Ni zamu ya Watanzania kuchukua ajira bandarini, airport, kwenye misitu na maeneo mengine ya ardhi yao; muhimu wawe na vigezo vinavyotakiwa na waache kufanya kazi kwa mazoea.

Watu wachangamkie fursa.
 
Back
Top Bottom