Mbeya: Mahakama Kuu yatoa baraka Uwekezaji wa DP WORLD Dubai Bandarini. Walalamikaji wajipanga kukata Rufaa ya Hukumu

Mawazo mazuri sana, piga namba hizi uongee na vijana wenzako: Phone : +255687840591

Harakisha. Tunahitaji vijana wenye moyo kama wako.
Akipiga simu nijulishe.Hawa ni wakimbizi wa Rwanda,watanzania,wazawa,wazalendo wamefurahi kushinda kesi.
 
Mwabukusi na wenzake wameangukia pua, kudadadadekiiii.
 
Jo,Mbega tunajua ni ya miongoni mwa wanaotunza kama taifa, hata kama ukaanguka kitabu cha kurasa billion laki tano bado hutaikuza imani yetu kwa uuzaji huu🤔.Jipange irudi pamoja na washirika wako,ila jua,jueni Tanzania ni yetu sote na sio ya yeyote kwa vyovyote aminivyo🤔
 
Rushwa tu! Tulia rudisha USD 2.5m au 62,500,000,000 TAS.
 
According to the header, kwamba Mahakama ndio ishatoka ruhusa ya utekelezaji wa mapungufu ya kimkataba wa bandari?
 
Uhuni ule ule unaofanana na chafuzi zifanyikazo kwa baraka ya tume za kina s.jecha sjecha na akina Mafweza muda akina Vilimani🏃🏃🏃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…