stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
Inauma saana hii miaka mitano bila baba levo itakuwa ni ya dhiki saana kwa vijana
We jamaa kweli upo emotional, lakini ndo ivo sasa utafanya nn maisha lazima yasogee, kuna next time
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inauma saana hii miaka mitano bila baba levo itakuwa ni ya dhiki saana kwa vijana
Kuna wapuuzi wataendelea kuamini matokeo haya.
Nipo Malafyale, naona vumbi tu zinavyotimka!Duh za masiku nkamu, umepotea sana kada wa CCM
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mungu wangu,, hivi kumbe Lisu na chadema ni bure kabisa
Tutakaoumia Ni wananchi sio wanasiasa.Naona mambo yatakavyokuwa magumu 2020-2025