stakehigh JF-Expert Member Joined Aug 9, 2019 Posts 7,134 Reaction score 4,556 Oct 29, 2020 #221 Bachelor ll said: Inauma saana hii miaka mitano bila baba levo itakuwa ni ya dhiki saana kwa vijana Click to expand... We jamaa kweli upo emotional, lakini ndo ivo sasa utafanya nn maisha lazima yasogee, kuna next time
Bachelor ll said: Inauma saana hii miaka mitano bila baba levo itakuwa ni ya dhiki saana kwa vijana Click to expand... We jamaa kweli upo emotional, lakini ndo ivo sasa utafanya nn maisha lazima yasogee, kuna next time
M Mangobase Member Joined Sep 3, 2020 Posts 20 Reaction score 5 Oct 29, 2020 #222 Congressman said: Kuna wapuuzi wataendelea kuamini matokeo haya. Click to expand... Wewe ndo mjinga kwahiyo unataka tuingie barabarani au ..mlikua mnaambiwa semeni sera mnatukana mnavuna mlicho panda mnasema hamkupanda heh upinzani bwana
Congressman said: Kuna wapuuzi wataendelea kuamini matokeo haya. Click to expand... Wewe ndo mjinga kwahiyo unataka tuingie barabarani au ..mlikua mnaambiwa semeni sera mnatukana mnavuna mlicho panda mnasema hamkupanda heh upinzani bwana
masopakyindi Platinum Member Joined Jul 5, 2011 Posts 18,207 Reaction score 13,839 Oct 29, 2020 #223 Lusungo said: Duh za masiku nkamu, umepotea sana kada wa CCM Click to expand... Nipo Malafyale, naona vumbi tu zinavyotimka!
Lusungo said: Duh za masiku nkamu, umepotea sana kada wa CCM Click to expand... Nipo Malafyale, naona vumbi tu zinavyotimka!
Pulchra Animo JF-Expert Member Joined Jun 16, 2016 Posts 3,718 Reaction score 3,465 Oct 29, 2020 #224 IDEGENDA said: [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mungu wangu,, hivi kumbe Lisu na chadema ni bure kabisa Click to expand... Kumbe ulikuwa hujajua tu![emoji1787] Musukuma aliwaambia waage kabisa Bunge, lakini hawakumuelewa.
IDEGENDA said: [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mungu wangu,, hivi kumbe Lisu na chadema ni bure kabisa Click to expand... Kumbe ulikuwa hujajua tu![emoji1787] Musukuma aliwaambia waage kabisa Bunge, lakini hawakumuelewa.
Pulchra Animo JF-Expert Member Joined Jun 16, 2016 Posts 3,718 Reaction score 3,465 Oct 29, 2020 #225 Super Sub Steve said: Tutakaoumia Ni wananchi sio wanasiasa.Naona mambo yatakavyokuwa magumu 2020-2025 Click to expand... Wabunge wasio na mchango chanya ni redundant anyway! Wabunge gani hao wasiokuwa na agenda nyingine zaidi ya kupinga kila kitu?
Super Sub Steve said: Tutakaoumia Ni wananchi sio wanasiasa.Naona mambo yatakavyokuwa magumu 2020-2025 Click to expand... Wabunge wasio na mchango chanya ni redundant anyway! Wabunge gani hao wasiokuwa na agenda nyingine zaidi ya kupinga kila kitu?