Mbeya: Mbowe apokea zawadi toka kwa Wanachama wa CHADEMA waliohudhiria kikao cha ndani

ukweli ni kwamba Chadema imekufa na mojawapo ya uhakika kwamba Chadema imekufa ni kuporomoka kutoka kuwa na idadi kubwa sana ya wabunge kwenye uchaguzi wa mwaka 2015 mpaka kuwa na mbunge mmoja tu wa kuchaguliwa na Chama kama Chadema kilitumia nyota ya TAL kupata idadi ya kura ambazo zilisababisha kupata wabunnge 19 wa viti maalumu.

Hata baada ya anguko hilo Chadema hawataki kukiri makosa yao kwamba anguko lao ni mchakato wa makosa ya kuwarubuni wapiga kura mwaka 2015 baada Ya chadema kuwaacha wananchi kwa kushindwa kuungana na Magufuli kutetea sera zinazoyagusa Maisha ya watanzania kama Mapambano dhidi ya Rushwa na ulinzi wa Rasilimali za Taifa letu.

Chadema imekosa mwelekeo haina hoja tena ya kuwaambia Watanzania kilichobaki sasa hivi ni kurusha rusha miguu at their last breath there's no mechanism of the fundamental regime of which Chadema could retrieve its manifestations in order to conquer voters mindset their fishy smelling mindset is irreplaceable.

Chadema wanashambulia kila mtu mwenye mafanikio kama kweli Chadema inapendwa kama Diamond Mbowe na Diamond waitishe mkutano Diamond aweke kiingilio cha 20000 na Mbowe afanye bure nina uhakika Mbowe hafikishi 0.01% ya wafuasi wa Diamond kuna vitu vya kushobokea lkn kuamua kupambana na watu wenye nyota zao kama Diamond na Magufuli ni kaburi la chadema
 
Ewe TAGA kama cdm Imekufa si ndio ndoto za shujaa wenu alietabiria kifo upinzani zimetimia.
Unaweweseka nini sasa?!

Je, vipi ule mpango wenu wakuongoza kwake milele atake asitake unaendeleaje!?
 
Ulivo boya, sijui unategemea kupata likes nyingi au unategemea kusifiwa kwamba umeandika jambo la msingi kweli.

Unawaza "Diamond Vs Mbowe" kuitisha mikutano ya hadhara badala ya kuwaza upuuzi wa bajeti alioupeleka Waziri wenu wa Fedha kwenye genge la kahawa analosimamia Job Ndugai pale Dodoma.
 
Ewe TAGA kama cdm Imekufa si ndio ndoto za shujaa wenu alietabiria kifo upinzani zimetimia.
Unaweweseka nini sasa?!
Je, vp ule.mpango wenu wakuongoza.kwake milele atake asitake unaendeleaje!?
Anaongoza milele ndio maana viongozi vilaza,wa CDM hawaishi kumtaja The legendary JPM
 
Bangi nibangue nidhirishe upumbavu wangu.
 
Mtoa post ni Amnazo kabisa, how can you compare a politician with musician, however you can't just point out one criterion to justify the popularity of either..Please compare Mwanamziki kwa mwanamziki na mwanasiasa kwa mwanasiasa.Nadhani usijisaulishe mikutano ya the late JPM na Mabango tena kwa msaada wa Diamond na Hamoniza in October, 2020 v/a TUndu Lisu bila Msanii na bila posters/Bango ....CHADEMA ni kitu Nyingine...inapokuja swala la mikutano na kupendwa..
 
Yaani hapo umelinganisha ujinga na hekima. Bila shaka wapo wengi watakofuata ujinga wa dimondi make kule hakuna matumizi ya akili, busara na hekima!
 
Hapo kwenye kushindwa kuungana na JPM kupambana na rushwa na kulinda rasilimali za nchi ndio kwenye point.

Hata kama walikuwa hawataki kumuunga mkono ni bora wangenyamaza kuliko kumpinga JPM na kuwaaminisha wa Tanzania kuwa anachokifa JPM sio sawa.

Wao walijikita kupambana na JPM badala ya kupambana na CCM. Leo JPM hayupo lakini CCM ipo. Hivi sasa Mama anafanya vizuri kwa kurekebisha pale ambapo JPM aliteleza kama mwanadam na wao wameonekana kufurahia mwenendo wa mama, sasa ni kama hawana tena cha kupinga.

Mpaka waje waanze kumtafutia mama makosa ya kumsingiza itakuwa too late uchaguzi umefika, na hapo ndipo watagundua kuwa watanzania hawakufurahishwa na kitendo chao cha kuendelea kumsema hayati.

Unapokuwa na upinzani unaopinga Taifa la pili kwa kuwa na vivutio vingi duniani baada Brazil kumiliki ndege zake hapo ujue upinzani unatatizo.
Unapokuwa na upinzani unaopinga waziwazi juhudi za kuzuia rasilimali zetu kama madini zisiibiwe na makampuni ya nje hapo ujue kuna tatizo mahali.

Ili Taifa lolote liendelee linahitaji chama makini na kiongozi makini. Kiongozi atakayetizama maslahi ya taifa kwa leo na siku zijazo. Kiongozi makini anaweza toka chama chochote kilicho makini. Haijalishi watu watakupenda au watakuchukia, lakini kama unachokifanya ni kwa maslahi ya taifa ni bora uchukiwe.
 
Yaani hapo umelinganisha ujinga na hekima. Bila shaka wapo wengi watakofuata ujinga wa dimondi make kule hakuna matumizi ya akili, busara na hekima!
Acha dharau mkuu, heshimu kazi ya mwenzako kabisa. Unadhani hekima nini? Viongozi wa siasa hekima wakiwa hajapata wacho tafta. Wakipata huwaoni na wako bussy. Imagine mbunge anakupangia kode ila yeye hakuna kodi anayolipa maisha yake ya ubunge.
 
Mfano wako sio. Hiyo 0 unayosema ni msahihishaji ndiyo aliyotoa alama hizo kwa Mtahiniwa kwa matakwa yake. Ule haukuwa uchaguzi, hata watoto wadogo wanalijua Hilo!

Jiwe alishindwa kabisa kijihalalisha, ndio maana hata Wana CCM Teena viongozi wameshamgeuka kabka hata hajaoza!
 
Ijawezekana ukawa sahihi ..iwapo tu jamii unayoizungumzia ni ya Wapumbavu!
 
Unauaje kile kilichomo mioyoni mwa watu wanaojitambua Mkuu?
 
laana inawawewesesha usifanye mchezo na laana ya wazazi hata kama wamekulea unatakiwa uwaheshimu.Eti mbowe na damondi hamwoni kama sasa mnaanza kupata wazimu. Jamaa limeanza kugaragizwa huko mnataka kumuingiza kwenye siasa ili iweje agombee uraisi,tuone basi ccm mumpe dayamondi agombee uraisi tutajua kweli mna imani naye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…