Mbeya: Mbowe apokea zawadi toka kwa Wanachama wa CHADEMA waliohudhiria kikao cha ndani

Mbeya: Mbowe apokea zawadi toka kwa Wanachama wa CHADEMA waliohudhiria kikao cha ndani

Umevuta bangi ya wapi? Yaani kimbuzi na kiroba ukode kontena la futi 40 😂😂😂
 
Hivi unaposema "Mbowe apata hasara,anapaswa kuingia gharama ya kukodi kontena..." unakua umepiga hesabu gani mpaka kuja na conclusion kua kitendo cha Mbowe kukodisha kontena kubeba zawadi alizopewa ni hasara? au una maanisha kua gharama ya kukodi kontena ni kubwa kuliko thamani ya hizo zawadi alizopewa? je kama ulimaanisha hivyo,hiyo hua inahesabika kua ni hasara?

Hebu fafanua vizuri,hiyo hasara unayoiongelea ni ipi hasa?
 
Kuuwa Chadema si tu kwamba imeshindikana , Bali haitawezekana milele , kama kuna mtu alilipwa hela ili auwe Chadema basi bila shaka anapaswa kuzirejesha kwa wenyewe , au kama hayupo basi familia yake ilipishwe gharama ya utapeli wa ndugu yao .

Chadema haifi na wala haitakufa .

Hii hapa ni video ikionyesha vikao vya ndani vya Chadema , huku wanachama wakimimina zawadi kwa Mwamba Mbowe huku usafiri wake ukishindwa kuzibeba , imebidi ajipapase mfukoni ili akodi Scania yenye kontena la Futi 40 kuweza kubeba mizigo aliyopewa Mbeya wakiwemo mbuzi kadhaa

View attachment 1817929

View attachment 1817930
Kuuwa Chadema si tu kwamba imeshindikana , Bali haitawezekana milele , kama kuna mtu alilipwa hela ili auwe Chadema basi bila shaka anapaswa kuzirejesha kwa wenyewe , au kama hayupo basi familia yake ilipishwe gharama ya utapeli wa ndugu yao .,,,!!!AMESHAKUFA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida mnajifanya hamjui dalili ya kitu kilichokufa. Kwa kuwakumbusha tu ni kwamba:

1. Kwa viumbe hai hususani binadamu ni mapigo ya moyo kuwa 0, kupumua kuwa 0 na fahamu za ubongo kuwa 0.

2. Kwa vyama hususani chadema ni idadi ya wabunge kuwa 0, idadi ya madiwani kuwa 0 na idadi ya wenyeviti wa mitaa au vijiji kuwa 0.

Kiumbe kikifa kukifufua ni jambo lisilowezekana ila wapo watu wanaofanya usanii wa kufufua watu hususani baadhi ya wachungaji wa makanisa ya walokole. Vivyo hivyo kwa vyama kama chadema watu wanaweza fanya usanii wa aina hiyo wa kufufua.
Hawa jamaa ni wapuuzi, kwa akili hii hawatakaa washinde nchi hii

Hawa ndiyo huwa wanamfanya rais awakazie wapinzani ni chuki, kejeli,vitisho,uongo, wizi n k

Ndiyo majuzi wamtishia mpk rais ni Mambo ya ajabu
 
Aliye sema CDM imekufa Yuko wapi ndugu zangu??
giphy.gif

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida mnajifanya hamjui dalili ya kitu kilichokufa. Kwa kuwakumbusha tu ni kwamba:

1. Kwa viumbe hai hususani binadamu ni mapigo ya moyo kuwa 0, kupumua kuwa 0 na fahamu za ubongo kuwa 0.

2. Kwa vyama hususani chadema ni idadi ya wabunge kuwa 0, idadi ya madiwani kuwa 0 na idadi ya wenyeviti wa mitaa au vijiji kuwa 0.

Kiumbe kikifa kukifufua ni jambo lisilowezekana ila wapo watu wanaofanya usanii wa kufufua watu hususani baadhi ya wachungaji wa makanisa ya walokole. Vivyo hivyo kwa vyama kama chadema watu wanaweza fanya usanii wa aina hiyo wa kufufua.
Wewe sijui ni Dr. kweli au unajipa ujiko tu, anyway utajijua mwenyewe, nakufundusha tu Kuwa UHAI WA CHAMA CHA SIASA NI UFUASI NA UUNGWAJI MKONO WA WANACHAMA WAKO. CHADEMA imedhihirisha hilo kuwa ina UFUASI na inaungwa mkono. Ndichi kinachoonekana hapo Mbeya.
Ubunge,Udiwani na Uraisi mi matokeo ya UUNGWAJI mkono katika fair ground.
Jiulize uwanja wa ushindani uko fair?
Ndiyo amana wanataka Katiba Mpya na Tume Huru.
Umelewa sasa?
 
Kuuwa Chadema si tu kwamba imeshindikana , Bali haitawezekana milele , kama kuna mtu alilipwa hela ili auwe Chadema basi bila shaka anapaswa kuzirejesha kwa wenyewe , au kama hayupo basi familia yake ilipishwe gharama ya utapeli wa ndugu yao .

Chadema haifi na wala haitakufa .

Hii hapa ni video ikionyesha vikao vya ndani vya Chadema , huku wanachama wakimimina zawadi kwa Mwamba Mbowe huku usafiri wake ukishindwa kuzibeba , imebidi ajipapase mfukoni ili akodi Scania yenye kontena la Futi 40 kuweza kubeba mizigo aliyopewa Mbeya wakiwemo mbuzi kadhaa

View attachment 1817929

View attachment 1817930
naona mfalme mswati wa kifipa anakusanya tu mizawadi ya kinamama
 
Mzee beregu kafa badala ya kwwnda kumuandalia mazishi kwa hrshima yupo bize kulusanya mali za wanyonge
 
Chadema wakiendelea kupingana na falsafa za JPM hawatakaa wanyanyuke tena, enzi za Dr. Chadema ilikuwa chama kweli kweli leo limekuwa genge lisilojua chochote kuhusu maslahi ya Taifa

Ndiyo hata viongozi wao walipokuwa wanahama bado huwa hawajawahi kufikiri tatizo liko wapi, muhimu kwao ni matusi na upigaji tu.

Maprofesa Baregu na Safari walikimbia, mawaziri wakuu Lowasss na Sumaye walikimbia, makatibu wakuu Slaa na Mashinji walikimbia,wabunge wao walifukuzwa kwa kwenda bungeni Lwakatare, Selasini,Komu,Silinde, Lijualikali,na wengine wengi
Hivi wanawake kumi na tisa wamefukuzwa kwa ujinga ujinga eti wameenda bungeni

Chama kimekuwa Cha matusi kukejeli watu ni upumbavu wa hali ya juu.Mimi nasema Magu alikuwa sahihi kwa kuhakikisha nao wanafuata sheria
 
Wabunge washajua mawazo yenu yapo kwenye ujinga wa dimondi hivyo wanajifanyia Yao kwa wepesi bila wasi wasi!
Hadi mshtuke mtajikuta mnalipia kodi zisizowastahili!
Uko sawa kabisa yaani, Diamond kabeba mitando yote, ndo uje huyu mtu ni maarufu sana.
 
Hivi unaposema "Mbowe apata hasara,anapaswa kuingia gharama ya kukodi kontena..." unakua umepiga hesabu gani mpaka kuja na conclusion kua kitendo cha Mbowe kukodisha kontena kubeba zawadi alizopewa ni hasara? au una maanisha kua gharama ya kukodi kontena ni kubwa kuliko thamani ya hizo zawadi alizopewa? je kama ulimaanisha hivyo,hiyo hua inahesabika kua ni hasara?

Hebu fafanua vizuri,hiyo hasara unayoiongelea ni ipi hasa?
Neno sahihi ni ametapeliwa aka kaingizwa mjini aka kaliwa kichwa aka ........
 
Wewe sijui ni Dr. kweli au unajipa ujiko tu, anyway utajijua mwenyewe, nakufundusha tu Kuwa UHAI WA CHAMA CHA SIASA NI UFUASI NA UUNGWAJI MKONO WA WANACHAMA WAKO. CHADEMA imedhihirisha hilo kuwa ina UFUASI na inaungwa mkono. Ndichi kinachoonekana hapo Mbeya.
Ubunge,Udiwani na Uraisi mi matokeo ya UUNGWAJI mkono katika fair ground.
Jiulize uwanja wa ushindani uko fair?
Ndiyo amana wanataka Katiba Mpya na Tume Huru.
Umelewa sasa?
Kawaulize akina Halima Mdee, Rwakatare, Mashinji, Dr Slaa, Selasini, Komu, Kubenea etc watakuambia that thing died long time ago. What you are seeing is its ghost!
 
Kuuwa Chadema si tu kwamba imeshindikana, ali haitawezekana milele, kama kuna mtu alilipwa hela ili auwe Chadema basi bila shaka anapaswa kuzirejesha kwa wenyewe, au kama hayupo basi familia yake ilipishwe gharama ya utapeli wa ndugu yao.

Chadema haifi na wala haitakufa.

Hii hapa ni video ikionyesha vikao vya ndani vya Chadema, huku wanachama wakimimina zawadi kwa Mwamba Mbowe huku usafiri wake ukishindwa kuzibeba, imebidi ajipapase mfukoni ili akodi Scania yenye kontena la Futi 40 kuweza kubeba mizigo aliyopewa Mbeya wakiwemo mbuzi kadhaa.

View attachment 1817930
View attachment 1817929
safi sana
 
Back
Top Bottom