Mbeya: Mbowe apokea zawadi toka kwa Wanachama wa CHADEMA waliohudhiria kikao cha ndani

Umevuta bangi ya wapi? Yaani kimbuzi na kiroba ukode kontena la futi 40 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hivi unaposema "Mbowe apata hasara,anapaswa kuingia gharama ya kukodi kontena..." unakua umepiga hesabu gani mpaka kuja na conclusion kua kitendo cha Mbowe kukodisha kontena kubeba zawadi alizopewa ni hasara? au una maanisha kua gharama ya kukodi kontena ni kubwa kuliko thamani ya hizo zawadi alizopewa? je kama ulimaanisha hivyo,hiyo hua inahesabika kua ni hasara?

Hebu fafanua vizuri,hiyo hasara unayoiongelea ni ipi hasa?
 
Kuuwa Chadema si tu kwamba imeshindikana , Bali haitawezekana milele , kama kuna mtu alilipwa hela ili auwe Chadema basi bila shaka anapaswa kuzirejesha kwa wenyewe , au kama hayupo basi familia yake ilipishwe gharama ya utapeli wa ndugu yao .,,,!!!AMESHAKUFA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa jamaa ni wapuuzi, kwa akili hii hawatakaa washinde nchi hii

Hawa ndiyo huwa wanamfanya rais awakazie wapinzani ni chuki, kejeli,vitisho,uongo, wizi n k

Ndiyo majuzi wamtishia mpk rais ni Mambo ya ajabu
 
Wewe sijui ni Dr. kweli au unajipa ujiko tu, anyway utajijua mwenyewe, nakufundusha tu Kuwa UHAI WA CHAMA CHA SIASA NI UFUASI NA UUNGWAJI MKONO WA WANACHAMA WAKO. CHADEMA imedhihirisha hilo kuwa ina UFUASI na inaungwa mkono. Ndichi kinachoonekana hapo Mbeya.
Ubunge,Udiwani na Uraisi mi matokeo ya UUNGWAJI mkono katika fair ground.
Jiulize uwanja wa ushindani uko fair?
Ndiyo amana wanataka Katiba Mpya na Tume Huru.
Umelewa sasa?
 
naona mfalme mswati wa kifipa anakusanya tu mizawadi ya kinamama
 
Mzee beregu kafa badala ya kwwnda kumuandalia mazishi kwa hrshima yupo bize kulusanya mali za wanyonge
 
Chadema wakiendelea kupingana na falsafa za JPM hawatakaa wanyanyuke tena, enzi za Dr. Chadema ilikuwa chama kweli kweli leo limekuwa genge lisilojua chochote kuhusu maslahi ya Taifa

Ndiyo hata viongozi wao walipokuwa wanahama bado huwa hawajawahi kufikiri tatizo liko wapi, muhimu kwao ni matusi na upigaji tu.

Maprofesa Baregu na Safari walikimbia, mawaziri wakuu Lowasss na Sumaye walikimbia, makatibu wakuu Slaa na Mashinji walikimbia,wabunge wao walifukuzwa kwa kwenda bungeni Lwakatare, Selasini,Komu,Silinde, Lijualikali,na wengine wengi
Hivi wanawake kumi na tisa wamefukuzwa kwa ujinga ujinga eti wameenda bungeni

Chama kimekuwa Cha matusi kukejeli watu ni upumbavu wa hali ya juu.Mimi nasema Magu alikuwa sahihi kwa kuhakikisha nao wanafuata sheria
 
Wabunge washajua mawazo yenu yapo kwenye ujinga wa dimondi hivyo wanajifanyia Yao kwa wepesi bila wasi wasi!
Hadi mshtuke mtajikuta mnalipia kodi zisizowastahili!
Uko sawa kabisa yaani, Diamond kabeba mitando yote, ndo uje huyu mtu ni maarufu sana.
 
Neno sahihi ni ametapeliwa aka kaingizwa mjini aka kaliwa kichwa aka ........
 
Kawaulize akina Halima Mdee, Rwakatare, Mashinji, Dr Slaa, Selasini, Komu, Kubenea etc watakuambia that thing died long time ago. What you are seeing is its ghost!
 
safi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…