Mbeya: Mbowe apokea zawadi toka kwa Wanachama wa CHADEMA waliohudhiria kikao cha ndani


Unafeli Hapo tu Pa kutaja wasiohusika. Inaonyesha mnapanga matukio. Kwanini Usiwe na hoja tu straightforward— Mbowe Leo kapokea Zawadi. Hayo mengine ndo udhaifu wako ulipolala.
 
Huna jibu,umesoma swali ukatambua kua kosa ulilolifanya kwenye heading yako limeharibu content yote,

Naona Mod's wamekusaidia kurekebisha heading,bila shaka waliona comment yangu.
Mods hawawezi kufuata maagizo yako , na tena nachukua nafasi hii kuwakumbusha mods kwamba nyuzi zingine ni za Nahau , badala ya kuedit ni bora wafute uzi , kuedit kunaondoa fikra pevu za watu kufikiria
 
CHADEMA ina roho saba kama za paka haiwezi kuuawa kibwege na kikundi kidogo cha wachumiatumbo na wahalifu waliokuwa wakiongozwa na mwendazake. Mungu hadhihakiwi. Mwendazake angeendelea kuishi angeiharibu hii nchi. Ndio maana Mungu aliamua kuingilia kati na kumtowesha hapa duniani ili asiendelee kutuharibia nchi yetu yenye amani na upendo kila kona.
 
Umebugi stepu ndugu! Muasisi wa hiyo imani kwamba uhai wa CHADEMA ni ubunge na ruzuku kasepa zake na msaidizi wake mwenye faili Mirembe, anaaga aga mashindano! Uhai wa chama cha siasa ni wanachama, na CHADEMA wapo lukuki!
 
Mhhhh kontena la kubeba kipeto kimoja na mbuzi au la kubebea hao watu.
Akili ya kinafki, hii video ni wakilishi ya sekunde kadhaa, sasa Kama unataka video ya toka hao mbuzi wana akiwa na sadaka zote nenda YouTube au Mbeya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…