Uchaguzi 2020 MBEYA MJINI: Mkimchagua Sugu mtakuwa mmeshamchagua Tulia, mtakuwa na wabunge wawili

Uchaguzi 2020 MBEYA MJINI: Mkimchagua Sugu mtakuwa mmeshamchagua Tulia, mtakuwa na wabunge wawili

Sugu akishinda ata kuambia ni juhudi zake binafsi ndio zimempa ubunge.
Mchinjeni tu aendeshe hotel yake.
 
Unautani...
20200912_125315.jpg

Hali ni mbaya
 
Kwa aina ya Mkurugenzi aliyepo chadema wajiandae kujaa barabarani kudai kura zao.Ila kwenye sanduku la kura kwa wanambeya ninavyowajua Tulia inabidi amuombe mungu wake sana amuone japo kwa kupitia mkurugenzi na Polisi.
 
Huyu hawezi kupambana na Sugu, kuna wana CCM wana roho mbaya sana kumwingiza chaka dada wa watu. Humo Bungeni walidanganyana sana .. wakaanza kugawana majimbo as if Tanzania ni mali yao... wacha wakipate.. hawa si wa kuongea huruma hata kidogo.

Mbeya mjini ni kati ya majimbo magumu Tanzania bara.

Asije akawaponza NEC...uchaguzi huu usio na waangalizi wa mataifa ni hatari mno...
 
Wengi wanao mtetea Tulia hawapo mbeya.. hali halisi ya Mbeya ni kuwa Tulia anashangaa sana.. zile bajaji, mikopo, hela na tshert kwa wapiga debe zinaenda na maji..
 
Back
Top Bottom