Amebambikiwa ndio sasa unasemaje?
Kwanza vipi mbona hapo sioni wale walikuwa wanalike matusi yake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio uchumi ukue SasaAmebambikiwa ndio sasa unasemaje?
Kwanza vipi mbona hapo sioni wale walikuwa wanalike matusi yake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona yuko nje sasaUmesahau mwenyekiti wako kawauzia sana watoto wetu pale kwenye Disco lake bilicanas
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili sio akiriHili kundi lililokabidhiwa nchi nimegundua kuwa hawajui kupigana kisayansi, hili ni kundi la kupigana kwa kutotumia akiri, Siku zote kwenye Vita ukiona adui anakuzidi nguvu unatakiwa urudishe nyuma majeshi sasa hawa wakipelekewa wanaingia Kingi, hawatumiii akiri kupambana na wananchi wanatumia nguvu hata kipindi achacho wanajua kuwa dunia yooote inawatazama
Sent using Jamii Forums mobile app
Japo ni wamemusingizia bila hata aibu dogo alitakiwa asome alama za nyakati pole mdude
Hata wwe ujiandae mkuu hujuii muda wala saa watakapo kugeuka nakukupa kesi ya matumizi mabaya ya madaraka au ukwepaji wa kodiKama unajua umejiwekea mazingira hatarishi we anza kujiandaa tu mzee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwana kuliparisha kwa mwezie mwana kulitafta hahaahaaaMWANA KULITAFUTA MWANA KULIPATA
.
Nitashukuru ila it may be likewise siyo kila aliye selo ana hatia ni swala la kujianda tu rafikii yanguu!!utawala usio singazia demokrasia hauna rafiki!!mimi nitakuletea na magazeti ya kila siku piasikia nikwambie wewe ni rafiki yangu wa karibu.
fanya kazi pambania maisha yako alafu uone kama utabughidhiwa na mtu.
ila ukijifanya much know wewe ndo kimbelembele basi mimi rafiki yako ntakuletea ka chai tu huko selo sitokuwa na msaada zaidi ya hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubali Bongo watu hawana mwamko. Lakini ni lazima wawepo watakaonza na mwanzo utakuwa mgumu sana sana.Acha ujinga.Kujitoa bongo ????Tena nyuma yako hakuna hata wananzengo. Kina Mandela walikuwa na wananchi nyuma yao. Narudia ni ufala kusema serikali huku wewe mwenyewe una makando na on top of that nyuma hakuna hata mwananchi atakeotoka nje kukupigania ukiwa jela.
Namna hii hata kama Watanzania tutasali na kuomba toba kwa Mungu juu ya COVID-19 na Majanga mengineyo si rahisi kujibiwa na kuponywa sababu ya dhuluma za Wakuu wetu...#HABARI Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mdude Nyagali, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mbeya, kujibu shtaka linalomkabili ya uhujumu uchumi baada ya kukutwa na gramu 23.4 za dawa za kulevya aina ya Heroine.
Source EATV
Makamanda kampiganieni, kamanda wenu.
Eti nabakia Africa.
Umebaki wewe! Niliambiwa unatumia unga!Wamembambikia dogo. Mashetani kabisa hawa.
Acha kupiga ramli,lete ushahidiSasa wewe unafikiri amri imetoka wapi? Mbona unajitoa ufaham? Unaaambiwa kuwa hata hao mapolisi wanasikitika Lakini hawana namna bado unataka kujitoa ufaham, Yule Mkuu wa mbeya alipofunga baar asubuhi yake, Yule wa Iringa asubuhi yake huyu wa dar asubuhi yake, unaamabiwa kuwa kila kitu kinachofanyika kwa sasa amri inatoka kwa magufuli na hata hao polisi huku nje wanasimlia
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah!...Duh! Amebambikiwa dogo! Jamaa wana roho kutu sana. Huyu naye walikuwa wamuuwe kama Ben Saanane