Intelligence system yeyote huwa na kitengo maalum Cha measurements & evaluation.
Hii mbinu "Death and Disappearance"
Isitumike ndivyo sivyo Kuna mbinu nyingine nyingi za kudili na threat
Mimi na uhakika na watu wengine wengi tuna uhakika MDUDE NYAGALI kachomekewa madawa....
Niliwai kucomnent kweny account ake kumshauri kuhusu matumizi ya LUGHA na Aina ya harakari anazofanya....
Najua TAARIFA utakua mmemfikia Mkuu wa nchi najua Rais yeye anajipambanua kama mtetezi wa Wanyonge atoe agizo kwa watu wake wachunguze Mara moja.....
Kama Ni upuuzi wafute hili jarada.
WAKATI mwingine vijana wengine wanakua radical kwasababu ya ukosefu wa ajira za kueleweka
Nchini UNAKUTA Ina WAHITIMU kibao wa wa vyuo vikuu hawana ajira Mwaka wa tano Sasa na alisoma kwa bidii na kuaminishwa atapata ajira....
"PENGINE SULUHISHO LA MDUDE NYAGALI NI KUPATIWA AJIRA YA UHAKIKA NA SERIKALI"
Maana Mfumo wa elimu YETU nchini Umeshindwa kuwapatia vijana skills za kuwawezesha kujiajili nacho jua tuliwaandaa kuajiliwa.
Kina mdude wapo wengi Sana hili Ni bomu
Free mdude tusipoteze rasilimali za taifa