Mbeya: Msanii wa Nyimbo za Injili, Sifa Bujune ashikiliwa kwa tuhuma za kuimba wimbo wenye maudhui ya uchochezi

Atakuwa mnyaki wa kyela wa Rungwe hawana shida.
Wanamuulie mwanae kwa interest zipi tishio kwa Serikali.
Amechanganyikiwa soon atakuwa kama kibwetere.mara aseme Biblia ni kitabu Cha shetan
 
Wewe sio hakimu, acha maneno meeeengi ya kulaumu!
Ndio mnajifichia huko siku hizi mkimbiaji ukweli. Eti leo mkuu wa usalama wa Taifa ameua mtoto wa Mbarikiwa. Yaani aue mtoto kwa kosa gani? Mbarikiwa ana tishia nini kwenye usalama wa nchi? Mbarikiwa ana influence gani nchini? Mbarikiwa ana watu wangapi wanaosikiliza? Wale kikosi kazi hata 50 hawafikii.

Mtoto kafa tokana na ajali ya Gari wakati wanaenda kuhubiri kule kanda ya ziwa. Baada ya kupata ajali, baada wampeleke hospitali au wamrudishe Mbeya, wamelazimisha naye amelazimisha kwenda kwenye mkutano eti ni shujaa anataka afe pamoja na Baba yake. Mtoto akawa na maumivu ya ndani kwa ndani ndio kilimuua. Sasa hapo mkuu wa usalama wa Taifa kahusikaje?

Tunafahamu utumishi wa Kimungu umejengwa katika unyenyekevu. Ukitaka kujua fuatilia watoto wake akina Onesmo Mwakajila hata yule Ulimwengu aliamua kujitoa kikosi na alivyoshambuliwa. Mwulize Kuhani Lawi alivyomshauri alichokutana nacho toka kwa hao watoto wake. He is psychiatric, wampime akili na wamcontrol haraka ataleta maafa kama ya Shakahola.
 
Ungeweka kawimbo tusikilize huo uchochez, si ajabu kaimba ukwel kbs! Tatizo ni vile malaika hawajasifiwa!!
 
Hizo ni hadithi za kutungwa
Leta vifungu vya sheria ya nchi ashinde kesi
 
Kumbe uko kazini, bas sawa.
 
Kwa hasira hizi inaonekana waumini wako wote wamekimbilia kwa mwakipesile
 
Enzi za ukipigwa shavu moja mgeuzie la pili umepitwa na wakati.

Mnahubiri uoga na sio neno la ujasiri.
Tangu mwanzo Wafalme wakikosa hukenewa na watumishi wa Mungu lkn ninyi mmekuwa watu wa ajabu mno hasa Wapentecoste.

Wachungaji wa Kipentecoste wanafiki mnooo mnapitwa na RC.

ninyi ni wasengenyaji na wanung'unikaji chichini...ninawafahamu kuliko.
 
Siku hizi wanakamata mpaka walokole hii laana haitowaacha salama🧐
 
Una ushahidi Kutoka polices au eneo walilopatia Ajali kwamba mtoto wake alifariki Kwa Ajali?
Nani kasema mtoto wake kafa kwa ajali? Una nilisha maneno. Nimesema chanzo cha kifo kile ni walipopata ajali wakienda kuhubiri kanda ya ziwa. Baada ya kumrudisha mtoto Mbeya au wampeleke Hospitali wakaenda naye kwenye mkutano wakati mtoto akiwa na majeraha ya ndani. Hii ndio ilisababisha kifo chake. Je wewe una ushahidi kuwa aliuliwa na Usalama wa Taifa? Kwa akili yako ndogo, usalama wataua mtoto wa Mbarikiwa kwa kosa gani? Je mbarikiwa ana influence gani nchi hii hadi awe tishio?
 
Yohanna Mbatizaji alimwambia Kweli mfalme kuwa amefanya kosa kunyanganya mke wa kakake na kumfanya mke wake.

Mfalme akamfunga gerezani, mke aliyesemwa akamuundia zengwe Yohana na akauwawa.

Kwahiyo Yohana angeacha kukemea TABIA ya kudhulumu NDOA Ili UOVU uenee?

Kweli na HAKI vinatoka Kwa Mungu, kufa Kila mtu atakufa muda wake ukifika.

Ni kheri kufa ukipigania Kweli na HAKI kuliko kufia guesthouse ukizini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…