Mbeya: Mtoto wa darasa la nne shule ya msingi Mkapa alawitiwa na mwenzie wa darasa la saba

Hapo ndo naona sasa Faida ya saikolojia.
Elimu ya akili na mahusiano ya tabia ya mtoto katika mazingira aishiyo na kukulia yanavyojenga tabia za watoto wa Taifa la kesho.
 
Hizi maada za ushoga ndio zinachochea haya.....
Mbeya imeshaharibika
Shule ninayofundisha kuna Dogo nae std 4 alikuwa anakula mwenzie std 3 ...swala limekuja gundulika kwa kuchelewa....maana ilikuwa mwakajana...walionywa wote pamoja na yule aliyekuwa anamwingilia mwenzie kuadhibiwa vikali....lakini mpaka naandika hivi huyu Dogo aliyekuwa anamwingilia mwenzie homa za Mara kwa Mara hazimwishi...uwezo kidarasa umeshuka....yaan tunakuja kufuatilia kumbe mtoto aliyekuwa analiwa ni alizaliwa na HIV
 
Daaah ni tatizo sana
 
Umeongea kwa hisia sana mwalimu...
Chukua kinywaji chochote popote ndani ya mbeya..
Halafu shea lokesheni pm.
 
Shule ninayofundisha kuna Dogo nae std 4 alikuwa anakula mwenzie std 3 ...swala limekuja gundulika kwa kuchelewa....maana ilikuwa mwakajana...walionywa wote pamoja na yule aliyekuwa anamwingilia mwenzie kuadhibiwa vikali....lakini mpaka naandika hivi huyu Dogo aliyekuwa anamwingilia mwenzie homa za Mara kwa Mara hazimwishi...uwezo kidarasa umeshuka....yaan tunakuja kufuatilia kumbe mtoto aliyekuwa analiwa ni alizaliwa na HIV
Duh hatari hii
 
Nekumbuka miaka ya nyuma,nilipanga sehemu,siku moja nikasikia kelele usiku,kumbe kijana wa darasa la sita anaadhibiwa,kisa kakutwa anamuingilia mdogo wake wa kike,kinyume na maumbile.Nilihuzunika sana,kesho yake kukaanza kufanyika utaratibu wa kumhamisha kaka mtu,aende Arusha,amuache mdogo wake,mkoa niliokuwepo.
 
Hapana,ila wazazi ndo wanajua
mshahara wa zambi kweli mauti na wapa pole tu wazazi wa huyo dogo aliekuwa ana mfumua mwenzake marinda .hali inatisha sana. dhambi ina tafuna kizazi na kizazi .maana kama wazazi wanafanya michezo hiyo wanapandikiza roho hizo kwa vizazi vyao ikiwezekana watoto wao tuwe makini na tabia zetu
 
Nekumbuka miaka ya nyuma,nilipanga sehemu,siku moja nikasikia kelele usiku,kumbe kijana wa darasa la sita anaadhibiwa,kisa kakutwa anamuingilia mdogo wake wa kike,kinyume na maumbile.Nilihuzunika sana,kesho yake kukaanza kufanyika utaratibu wa kumhamisha kaka mtu,aende Arusha,amuache mdogo wake,mkoa niliokuwepo.
Dah kumbe watoto wanaharibikiwa majumbani mwao afu wana anza kulaumu serikali
 
Yaani mazingira hayohayo mtoto anayokulia,ndiyo hayohayo yanamharibu,mzazi asipokua makini.Serikali ni levo nyingine kabisa.
wazazi wanatakiwa kuwa kalibu na watoto wao,ndugu,majilani,mapadri,mashehe ndo wana ongoza kuharibu watoto.wazazi wanapaswa wawa eleze watoto kiuhalisia,sio waanze kuficha ficha,malezi kwa mtoto ni jukumu la mzazi sio serikali, unakuta unamkalibisha ndugu una mlaza na mtoto wako wakiume matokeao yake ana anza kumharibu mtoto wako
 
Back
Top Bottom