Licking Wounds
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 3,979
- 5,146
Tena hii shule iko mjini kabisa yani! Hili chama limefeli vibayaMwalimu wa mazoezi wa Shule ya Sekondari Sinde - Jijini Mbeya, Evaristo Chona anashikiliwa na vyombo vya dola baada ya kudaiwa kusambaza picha za Wanafunzi wakiwa wamekaa chini kwa madai ya kukosa madawati, jambo lililoifanya Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Mbeya kufika shuleni hapo.