Mbeya: Mwalimu aliyesambaza picha za Wanafunzi wamekaa chini, aingia matatani

Mbeya: Mwalimu aliyesambaza picha za Wanafunzi wamekaa chini, aingia matatani

Kamati ya usalama ya wilaya inamkamata mtu aliyeonyesha ukweli, haya ni matokeo ya kufanya kazi kwa uchawa na kutumia akili za matakoni
 
Ukweli una tabia ya kutobadilika. Hata ujifarague namna gani, iliyo kweli itabakia kweli.

Ni vema kutumia nguvu kubwa ktk kujisahihisha, kuliko kuumiza mtoa habari.
 
Back
Top Bottom