Licking Wounds
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 3,979
- 5,146
Tena hii shule iko mjini kabisa yani! Hili chama limefeli vibayaMwalimu wa mazoezi wa Shule ya Sekondari Sinde - Jijini Mbeya, Evaristo Chona anashikiliwa na vyombo vya dola baada ya kudaiwa kusambaza picha za Wanafunzi wakiwa wamekaa chini kwa madai ya kukosa madawati, jambo lililoifanya Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Mbeya kufika shuleni hapo.
Hii picha ni ya wiki hii nina mtoto wa kidato cha kwanza kanilalamikia kukalishwa chiniHIZO PICHA ZITAKUWA ZA ZAMANI HUYU MWALIMU INABIDI AFINYWE VIZURI K-DANI ZAKE HUKO ALIKO II IWE FUNDISHO KWA WENGINE WENYE NIA OVU YA KULETA TAHARUKI KATIKA JAMII
Mwalimu wa mazoezi wa Shule ya Sekondari Sinde - Jijini Mbeya, Evaristo Chona anashikiliwa na vyombo vya dola baada ya kudaiwa kusambaza picha za Wanafunzi wakiwa wamekaa chini kwa madai ya kukosa madawati, jambo lililoifanya Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Mbeya kufika shuleni hapo.
SASA HAYO MADAWATI YANAYOONEKANA YAMETOKA WAPI?Hii picha ni ya wiki hii nina mtoto wa kidato cha kwanza kanilalamikia kukalishwa chini
WEWE KWENYE FAMILIA YAKO WOTE UMEWATIMIZIA MAHITAJI YAO? TUANZIE HAPO KWANZA HALFU TUJE L SHULE NINA JIBU LAKO ZURI SANATena hii shule iko mjini kabisa yani! Hili chama limefeli vibaya
Nilitaka kushangaa usubili wakujibie[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Nipo kusahihisha daftari mie,Sina jipya
🤣🤣🤣😜Nilitaka kushangaa usubili wakujibie
Weee,kumbe una uwezo huo.....nisaidie nihamie mkoa niutakao basHapo sawa, moyo wangu una amani. Maana nilitaka nipige call moja ambayo within 2 hours ungekua nje
Jirahisishe itakugharimu urudi na story ningelifahamuWeee,kumbe una uwezo huo.....nisaidie nihamie mkoa niutakao bas
More than 60 yrs tunahangaika na madawati,mko siriaz nyie na li chama lenu kweli?WEWE KWENYE FAMILIA YAKO WOTE UMEWATIMIZIA MAHITAJI YAO? TUANZIE HAPO KWANZA HALFU TUJE L SHULE NINA JIBU LAKO ZURI SANA
Mwacheni Mama Aupige Mwingi!Mmh.. ..ndio wanasema tupo huru vile?!
Namwamini eti🥰Jirahisishe itakugharimu urudi na story ningelifahamu
He has watoto waliopigwa picha walikuwa wamekaa chini ni watoto wa wapi??Mwalimu wa mazoezi wa Shule ya Sekondari Sinde - Jijini Mbeya, Evaristo Chona anashikiliwa na vyombo vya dola baada ya kudaiwa kusambaza picha za Wanafunzi wakiwa wamekaa chini kwa madai ya kukosa madawati, jambo lililoifanya Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Mbeya kufika shuleni hapo.
Alitegemea nini kwa serikali hizi za Afrika.Mwalimu wa mazoezi wa Shule ya Sekondari Sinde - Jijini Mbeya, Evaristo Chona anashikiliwa na vyombo vya dola baada ya kudaiwa kusambaza picha za Wanafunzi wakiwa wamekaa chini kwa madai ya kukosa madawati, jambo lililoifanya Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Mbeya kufika shuleni hapo.
WEWE KWENYE FAMILIA YAKO WOTE UMEWATIMIZIA MAHITAJI YAO? TUANZIE HAPO KWANZA HALFU TUJE L SHULE NINA JIBU LAKO ZURI SANA