econonist JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 20,189 Reaction score 29,663 Feb 9, 2023 #41 petmiha said: SASA HAYO MADAWATI YANAYOONEKANA YAMETOKA WAPI? Click to expand... Watoto wanakaa Chini acheni ujinga wa kutetea uovu kisa chama.
petmiha said: SASA HAYO MADAWATI YANAYOONEKANA YAMETOKA WAPI? Click to expand... Watoto wanakaa Chini acheni ujinga wa kutetea uovu kisa chama.
M Matawi ya juu JF-Expert Member Joined Mar 5, 2019 Posts 3,504 Reaction score 6,809 Feb 9, 2023 #42 Kamati ya usalama ya wilaya inamkamata mtu aliyeonyesha ukweli, haya ni matokeo ya kufanya kazi kwa uchawa na kutumia akili za matakoni
Kamati ya usalama ya wilaya inamkamata mtu aliyeonyesha ukweli, haya ni matokeo ya kufanya kazi kwa uchawa na kutumia akili za matakoni
maneka JF-Expert Member Joined Jul 30, 2015 Posts 825 Reaction score 1,182 Feb 9, 2023 #43 Ukweli una tabia ya kutobadilika. Hata ujifarague namna gani, iliyo kweli itabakia kweli. Ni vema kutumia nguvu kubwa ktk kujisahihisha, kuliko kuumiza mtoa habari.
Ukweli una tabia ya kutobadilika. Hata ujifarague namna gani, iliyo kweli itabakia kweli. Ni vema kutumia nguvu kubwa ktk kujisahihisha, kuliko kuumiza mtoa habari.
Mickbrown JF-Expert Member Joined Sep 13, 2022 Posts 409 Reaction score 496 Feb 9, 2023 #44 Maskini dogo ndio atapewa uchadema apo uwiiiiii
K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 15,188 Reaction score 18,583 Feb 9, 2023 #45 To yeye said: Namwamini eti[emoji3059] Click to expand... Mwamini kikubwa usije na staili mpya unayoipenda kwenye game
To yeye said: Namwamini eti[emoji3059] Click to expand... Mwamini kikubwa usije na staili mpya unayoipenda kwenye game
To yeye JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 35,686 Reaction score 86,968 Feb 9, 2023 #46 kina kirefu said: Mwamini kikubwa usije na staili mpya unayoipenda kwenye game Click to expand... 🤣Watu wanasoma comments zako unajua
kina kirefu said: Mwamini kikubwa usije na staili mpya unayoipenda kwenye game Click to expand... 🤣Watu wanasoma comments zako unajua