johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hii ENGLISH mkuu hebu ipitie taratibuGod save us
Chalamila amepanic!Serikali isihusishwe na kifo cha mwananchi wake?
Je, huyo jamaa angepata utajiri na kuuza mifugo mpaka nje na kuletea kodi taifa tusingeiongelea serikali ya awamu ya 5?
When you take credit for all good things, don't forget to take responsibility when they go wrong.
mbona kapatia ki English. Au kosa liko wapiHii ENGLISH mkuu hebu ipitie taratibu
RC Chalamila jana alionekana kupitia ITV habari akiongoza operesheni hiyo na kuna mkwara aliupiga duh.........rip mwekezaji mzawa!Inawezekana jamaa baada ya kufuatilia ng'ombe wake alipewa majibu ya kukatisha tamaa, mwishowe akaamua kukatisha uhai wake.
Mwekezaji mzawa katika sekta ya mifugo huko Ihefu mkoani Mbeya amekutwa amejinyonga kwenye mti porini baada ya ng'ombe wake 50 kukamatwa na askari wa Idara ya Maliasili..
Chalamila anashindwa kutofautisha majukumu ya mwenyekiti wa CCM wa mkoa na yale ya Mkuu wa mkoa!Damu itamfata yeye
Labda ya Malawi maana pale ni karibu sanaChalamila anatumia "BANGE" ya wapi?
Ufipa!Chalamila anatumia "BANGE" ya wapi?