Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Alifanya mkutano na hao waafugaji akawaambia anawapa wiki moja watoe mifugo yao huko kwenye hifadhi la sivyo itakamatwa. Ila Kama kawaida ya wabongo, wakawa vichwa ngumuRC Chalamila jana alionekana kupitia ITV habari akiongoza operesheni hiyo na kuna mkwara aliupiga duh.........rip mwekezaji mzawa!